Ili tuiamini Serikali na TAKUKURU kwa Takwimu hizi za Twaweza mkamateni Mnyeti kwa suala la kununua madiwani arusha

impongo

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
8,733
7,610
Siamini Taasisi ya kuzuia kupambana na rushwa TAKUKURU mpaka pale itakapo wakamata watuhumiwa wa sakata la kuhonga na kununua madiwani wa Arusha.
Hata taarifa za Twaweza ni za kupika ama wameuliza wa Tanzania wasio na uelewa
Rushwa ipo kwa kiwango cha juu kupita wakati wowote ule
 
Mkuu wa Takukuru (a.k.a.Magu) ndiye aliyemtuma Mnyeti ,hapo hakuna kitu,Mlowola ni wa kufuata amri tuu
 
Mkuu wa Takukuru (a.k.a.Magu) ndiye aliyemtuma Mnyeti ,hapo hakuna kitu,Mlowola ni wa kufuata amri tuu
Serikali ndio wahusika wa rushwa haina haja watuhadae kuwa wanapambana na rushwa
 
Back
Top Bottom