Ili Tanzania izidi Kufanikiwa Kimaendelo haina budi kuwakumbatia hawa Marais wawili

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,468
108,621
Ni Marais ambao
  1. Wamejaaliwa sana uwezo mkubwa wa akili na maarifa mengi
  2. Wamelelewa na wamepikwa na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere
  3. Wameishi mno Tanzania hali ambayo imefanya nao wawe tu Watanzania wenzetu
  4. Wanapenda sana Maendeleo ya Tanzania na wameisadia nchi hii kwa mambo mengi
  5. Wanapenda mno Kujitegemea kuliko Kutegemea Wazungu ambao kutwa wanatunyonya
  6. Sera zao za Elimu kama zikiigwa nchini Tanzania basi Ujinga na Upumbavu utapungua
  7. Ni Mashujaa wa kweli wa Kijeshi, Kiusalama na Kiuchumi hivyo si vibaya nasi tukiwaiga
Hawa si wengine bali ni Marais wangu wapendwa kabisa Yoweri Museveni wa nchi ya Uganda na Paul Kagame wa nchi ya Rwanda. Nimwombe tu Rais wangu wa Tanzania Dkt. Magufuli kwamba ajitahidi kadri awezavyo ayaige yote ya hawa Marais wawili ili nasi nchi yetu iweze kupiga hatua kubwa ya Kimaendeleo.

Nawasilisha.
 
Naunga mkono hoja 100%, hakuna mambo ya kudeka deka - ni mbele kwa mbele (unataka/hutaki) kuelekea maendeleo!!!
 
Naunga mkono hoja yako sheikh
hawa wapinzani hawajielewi kabisa..na wamejazana mafisadi watupu
Magufuli kaza baba kazaaaa
Watanzania tuko nyuma yako
You are our President and we love you
 
Magufuli kwamba ajitahidi kadri awezavyo ayaige yote ya hawa Marais wawili ili nasi nchi yetu iweze kupiga hatua kubwa ya Kimaendeleo.
Inategemea una fikiria nini kuhusu aina ya maendeleo unayo yataka. Kuna mambo ya hawa wandugu hayafai kabisa kuigwa.
 
Ni Marais ambao
  1. Wamejaaliwa sana uwezo mkubwa wa akili na maarifa mengi
  2. Wamelelewa na wamepikwa na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere
  3. Wameishi mno Tanzania hali ambayo imefanya nao wawe tu Watanzania wenzetu
  4. Wanapenda sana Maendeleo ya Tanzania na wameisadia nchi hii kwa mambo mengi
  5. Wanapenda mno Kujitegemea kuliko Kutegemea Wazungu ambao kutwa wanatunyonya
  6. Sera zao za Elimu kama zikiigwa nchini Tanzania basi Ujinga na Upumbavu utapungua
  7. Ni Mashujaa wa kweli wa Kijeshi, Kiusalama na Kiuchumi hivyo si vibaya nasi tukiwaiga
Hawa si wengine bali ni Marais wangu wapendwa kabisa Yoweri Museveni wa nchi ya Uganda na Paul Kagame wa nchi ya Rwanda. Nimwombe tu Rais wangu wa Tanzania Dkt. Magufuli kwamba ajitahidi kadri awezavyo ayaige yote ya hawa Marais wawili ili nasi nchi yetu iweze kupiga hatua kubwa ya Kimaendeleo.

Nawasilisha.
BULLSHIT!
 
  • Thanks
Reactions: Pep

Very true
 
Back
Top Bottom