WAZIWAZI
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 1,815
- 1,575
BANDARI: Selikali ihakikishe hata sindano haipiti bure.
TRA: sasa hapa ndo inabidi kuwepo kiapo kwamba endapo utabainika wewe ni muajiliwa wa TRA na umeshiriki kuhujumu utanyongwa hadharani pale mnazi mmoja siku ya weekend.
TTCL: Hili kampuni likirudi kwenye ubora wake naamini linaweza likalipia elimu bure from std 1 to university, mfano mdogo tanzania inawatumiaji wa simu takribani million 28 sasa 20 wakiwa wateja wa kampuni mama TTCL na kila mtanzania akatumia 50000 elfu (T.sh 50000/=) tayali ni trion moja, achilia kuunga mabenki, asasi na taasisi za serikali (MPLS VPN) kutoa service ya mkongo wa taifa ndani na nchi jirani, ikumbukwe pia service provider wengine kama airtel, tigo, simbanet, raha...wote wanapitisha traffic zao TTCL na wanalipa mamilion ya pesa, tanzania tuiangalie TTCL kama jiwe lililokataliwa na waashi na tulifanye TTCL maana kwa dunia ya leo ya sayansi TTCL ni jiwe kuu la pembeni.
RELI: Mizigo yote isafirishwe kupitia njia ya reli (standard gauge) na abiria wa ndani na nchi jirani lazima tuungane na dunia tuanze kutumia treni ili tuendane na kauli mbiu ya HAPA KAZI TU.
TANESCO: huku kila mtu tukubali tuzime magenerator ya akina escrow.
Hizi ndizo nguzo zinazoshikilia uchumi wa nchi yeyote ile ianyojiita nchi ya viwanda.