Ili mwanaume ujiepushe na matatizo au stress zisizo na maana inabidi uwe na wanawake wangapi?

Sikiliza bwana mdogo. Idadi ya wanawake haipunguzi stress.
Kupungua kwa stress kunaanza na ww. Kwanza kuridhika na ww mwenyewe na maisha yako.

Ukitegemea kuridhishwa na mtu.. aise utafeli utafeli utafeli.

Kwanza be happy mwenyewe.. the rest havitakusumbua.
Nieaidie japo dondoo kwa chache .
How can i be happy independently of someone else.Mfano mtu una mwenza na umemzoea sasa akishaanza hiz fujo si rahis sana kufanya hich ulichosema.
Natangulisha shukrani
 
First of all mafanikio yako. Yawe kielimu kiuchumi .. make sure always unafurahia hatua unayopiga. Pili kuwa social na watu smart. Itakuongezea kujulikana.. i mean mtandao wako utaongezeka.. halaf itakuweka pazuri kimafanikio.
Usiweke mind yako 100% over a person. Hata kama anakupa furaha.. akija kuleta picha picha ndio hiyo unapata msongo.. why sababu umewekeza kwake. Hujawekeza kwako.
Wekeza kwako.. halaf most of time tafakari kupanda ngazi nyingine kimaisha.
Mapenzi yawe ni option sio necessesary.

Kwa style hiyo hata akizingua vip.. mind yako itakuwa kwenye mafanikio yako. Si kwenye pussy
 
kwa idadi ya wanawake..... refer king sele alikua na wanawake wangapi.
 
Ok !! Hii yaweza kuwa big point lkn kumbuka waweza fanya kaz kwa juhud na ukafanikiwa lkn km upo alone huwez kuenjoy
My point is sio uwe alone no. Tafuta mchumba.. oa lakin asiwe source ya furaha yako 100%. Mpe 43%.. au 50% kama unamuamini sana.
Other 50% baki nayo. Why? Because huwezi jua siku anabadilika.
 
Apo nimekusoma na tunaenda vzr lkn swal langu ni moja na point yangu hapa kwa hpja yako apo juu km atabadilika lazima uwe na back up kimada chengine pemben ili akizingua unaamia huku na ata uyo pia lazima umtafutie back up yke ili nae akizingua unahamia pengine sasa ni idadi gan sahih ya kuwa wanawake for me nahis 7 wanatosha
 
First of all mafanikio yako. Yawe kielimu kiuchumi .. make sure always unafurahia hatua unayopiga. Pili kuwa social na watu smart. Itakuongezea kujulikana.. i mean mtandao wako utaongezeka.. halaf itakuweka pazuri kimafanikio.
Usiweke mind yako 100% over a person. Hata kama anakupa furaha.. akija kuleta picha picha ndio hiyo unapata msongo.. why sababu umewekeza kwake. Hujawekeza kwako.
Wekeza kwako.. halaf most of time tafakari kupanda ngazi nyingine kimaisha.
Mapenzi yawe ni option sio necessesary.

Kwa style hiyo hata akizingua vip.. mind yako itakuwa kwenye mafanikio yako. Si kwenye pussy
Umeongea point ila nakupinga sehemu moja mapenzi ni option na sio nessesary hapa i say no !!! Mapenzi ni important needs na sio basic needs naposema basic needs hv ni lazima upate ili uish food.water and shelter lkn ukishapata ivo apo kinachofuata ni important needs sasa apo mapenzi yana nafasi kubwa sn kwaio naweza kusema napenzi ni basic needs pia km food.water and shelter vpo tayar
 
Kwenye basic needs mapenzi hayapo yes.
Which mean you can survive without it.. which is possible but hard.
Kutokuingia kwenye mapenz ni complete opposite of our nature. But we can control it.
In case ya bwana mdogo hapo nimshaur asiweke mapenz kama kipaombele..
His life.. ije first.. then next mambo mengine
 
Wanawake ni chombo muhimu sn kijamii na kiuchumi kwa mwanaume .Mwanaume asiye na msichana wa kusex nae hana tofaut na mgonjwa hawez kufanya kaz vzr ukilinganisha na yule ambae yupo ktk mahusiano

Sasa basi hawa wanawake ni watu wa matatizo sn mara upo period.mara ana mimba. Mara anaumwa na visababu vengine visivyo na msing na anaweza kukuacha bila sababu ya msing yaan unashangaa tu gafla simu hapokei .sms hajibu na bila kusahau yale yaliozoea kuomba omba ela usipopa tu baai na tunda hupewi na hakuna mda mwanaume huwa anachanganyikiwa km mda anapoachwa na mpenzi wake solemba na hasa ukizingatia hana mwingine inabid aingie mtaan kusaka mwingine jambo ambalo linaweza kumgharimu mda pia

Sasa basi nachotaka kujua ili mwanaume ujiepushe na matatizo au stress zisizo na maana inabid uwe na wanawake wangapi

NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI
Hata 10
 
Mimi kama mwanamke nakwambia sisi ndo source kubwa ya stress tena kama huna pesa stress tunaongeza maradufu
 
Apo nimekusoma na tunaenda vzr lkn swal langu ni moja na point yangu hapa kwa hpja yako apo juu km atabadilika lazima uwe na back up kimada chengine pemben ili akizingua unaamia huku na ata uyo pia lazima umtafutie back up yke ili nae akizingua unahamia pengine sasa ni idadi gan sahih ya kuwa wanawake for me nahis 7 wanatosha
Kwa uandishi huu haina haja ya kuwa na wanawake.
 
Wanawake ni chombo muhimu sn kijamii na kiuchumi kwa mwanaume .Mwanaume asiye na msichana wa kusex nae hana tofaut na mgonjwa hawez kufanya kaz vzr ukilinganisha na yule ambae yupo ktk mahusiano

Sasa basi hawa wanawake ni watu wa matatizo sn mara upo period.mara ana mimba. Mara anaumwa na visababu vengine visivyo na msing na anaweza kukuacha bila sababu ya msing yaan unashangaa tu gafla simu hapokei .sms hajibu na bila kusahau yale yaliozoea kuomba omba ela usipopa tu baai na tunda hupewi na hakuna mda mwanaume huwa anachanganyikiwa km mda anapoachwa na mpenzi wake solemba na hasa ukizingatia hana mwingine inabid aingie mtaan kusaka mwingine jambo ambalo linaweza kumgharimu mda pia

Sasa basi nachotaka kujua ili mwanaume ujiepushe na matatizo au stress zisizo na maana inabid uwe na wanawake wangapi

NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI
Asikudanganye mtu
Ukiwa na wanne wa ndoa tress bye bye
 
Back
Top Bottom