Ili mtu awe mwanasiasa anatakiwa awe na sifa zipi?

Inategemea ni wa upande gani. Kama ni ccm sifa ya kwanza uongo ya pili ufisadi ya tatu zero ya nne u toke kolomije ya tano..... du ngoja ni ishengoma hapa nasikia jamaa wanavunja geti isijekuwa ni kolomijeeeeee
 
Sifa ya kwanza ni uwe MNAFIKI mfano hao jamaa wa chini
13233029_1590768097881921_7440964151336377693_n.jpg
na uwe muongo muongo
 
Awe mwongo kama sisi chadema tulivyomshambulia Lowassa, leo Lowassa ndiye mfalme wetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom