Ili mtoto wako awe na akili nyingi mlishe sana samaki

We huyo ayo nae tokea awe mpiga zumari wa bwana mkubwa mi sina imani nae.
Wewe kwa akili zako unawaonaje hao waliojazia kichwani wana story gani zaidi bongo muvi na kujadili ma supa staa wasio na faida yoyote katika maisha yao.

Maendeleo hayana chama
Kwa mimi kuna dada mmoja chuo wala nilikuwa sina mazoea nae zaidi ya kujua tu jina lake alikuwa mashaallah kajazia nyuma kama mtungi rangi ya mtume full kumezea mate baba ako siku ya pepa paap huyu nakae nae mtoto maswali point hajui mzee wako point zote kichwani naachaje kumpa sasa maswali yote mzee nasubiri msimamizi kaenda mbali na sogeza pepa mtoto anapiga chabo kutoka urafiki ukaanzia hapo baba ako nikapewa asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera mkuu
Umeona kama ayo alikua anataka kukuingiza chaka eeeehhhh
ila mi nnachowapendea hao wenye nyama nyama sio wachoyo halafu pia hua wanachoka haraka hakutoi jasho kiviiiiile.

Maendeleo hayana chama
 
Upo sahihi kabisa Manengelo,

Inashauriwa sana mjamzito akitimiza wiki 28 za ujauzito wake anashauriwa kula samaki kwa wingi sana maana zina kitu kinaitwa omega 3 ambacho ndani yake kuna chombo inaitwa Docosahexaenoic Acid (DHA).

DHA ni kama fuel ya( kukuza ubongo (neurogenesis) na inazalisha neurotransmitters) nyingi sana ndani ya ubongo,

Na inasemekana kwamba, ikitokea mtu akiwa na kiwango kikubwa cha DHA basi lazima awe kipanga.

JE, kipanga lazima ale samaki tu? Answer is NO, Because

DHA hupatikana pia kwenye mayai ya kuku, soya beans nk pia mwili unauwezo wa kuzalisha DHA wenyewe.
arghhhhh..ila mm niliwah soma mjamzito akila vichwa vya samak hasa sato anauhakika wa kuzaa mtoto mwenye akili nzuri coz ina omega 3..sasa nashindwa elewa zaidi mfano yule mbunge Musukuma mama yake alikua anakula nn...!Angalia kina TL hawajazaliwa kwenye samak ila sasa ni vipanga had unachukia..njoo sasa kwa Bigboss
 
Kuna matunda fulani hivi Wahindi huwa wanatumia kuwapo watoto wao huwa yanasaidia kufanya ubongo kuhifadhi vitu vingi, ubongo unakuwa kama encyclopedia kwa maana ni kumbukumbu, kwa sababu elimu ni kumbukumbu. Kumbukumbu ikifeli basi huwezi kuhifadhi.

Zabibu kavu nazo zinasaidia kufanya ubongo kuwa na hifadhi nzuri. Vilevile mafuta halisi ya Mzaituni huwa wanachua kwenye mishipa ambayo ipo karibu na mapanja. Halafu wanasugua kwenye hiyo mishipa kwa kwenda mbele. Mafuta ya Mzaituni huwa yanasaidia kuzibua mishipa ya ufahamu.
Mbona wahindi huwa ni vilaza darasani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimewai kusikia ukitaka mtoto wako awe na akili nyingi penda sana kumpa MBOGA za samaki. Kingine nilisikia kuna vidonge unampa anameza wakati bado mtoto ira ivo vidonge nimevisahau jina. Au kama unajua njia nyingine yoyote tujuzane

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena hakikisha anakula na kichwa chote cha samaki.
 
Hapana mkuu...mwanangu ana miaka 7 nw..anajinyonyeaga tu had leo ingawa maziwa yalikata akiwa na 5yrs..he is the best student..nilimpeleka had hosp nikakutana na Dk m1 akasema yy mwenyewe amenyonya had 5yrs na alikua kipanga sana class..ila sasa sio mama ashindie chips au baga au piza ukitegemea atakuwa brightutakesha!kama mama ana maziwa mwache mtoto anyonye

Hiyo kumpeleka mtoto madrassa nilimaanisha kaweka kama no.1
 
Nimewai kusikia ukitaka mtoto wako awe na akili nyingi penda sana kumpa MBOGA za samaki. Kingine nilisikia kuna vidonge unampa anameza wakati bado mtoto ira ivo vidonge nimevisahau jina. Au kama unajua njia nyingine yoyote tujuzane

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu inabidi ulekebishe hapo
Uwez mfanya mtoto hawe na akili mana kila mtu anaakili
Bali vyakula ivo vitamsadia awe na kumbukumbu nzur
 
Upo sahihi kabisa Manengelo,

Inashauriwa sana mjamzito akitimiza wiki 28 za ujauzito wake anashauriwa kula samaki kwa wingi sana maana zina kitu kinaitwa omega 3 ambacho ndani yake kuna chombo inaitwa Docosahexaenoic Acid (DHA).

DHA ni kama fuel ya( kukuza ubongo (neurogenesis) na inazalisha neurotransmitters) nyingi sana ndani ya ubongo,

Na inasemekana kwamba, ikitokea mtu akiwa na kiwango kikubwa cha DHA basi lazima awe kipanga.

JE, kipanga lazima ale samaki tu? Answer is NO, Because

DHA hupatikana pia kwenye mayai ya kuku, soya beans nk pia mwili unauwezo wa kuzalisha DHA wenyewe.

u nailed itπŸ’ͺπŸ’ͺ✌✌
 
Back
Top Bottom