Ili mtoto wako awe na akili nyingi mlishe sana samaki

Sasa mkuu kama kula samaki sana ndio kuwa akili mbona wale wa kule pemba na unguja wanatuangusha
 
Kuna matunda fulani hivi Wahindi huwa wanatumia kuwapo watoto wao huwa yanasaidia kufanya ubongo kuhifadhi vitu vingi, ubongo unakuwa kama encyclopedia kwa maana ni kumbukumbu, kwa sababu elimu ni kumbukumbu. Kumbukumbu ikifeli basi huwezi kuhifadhi.

Zabibu kavu nazo zinasaidia kufanya ubongo kuwa na hifadhi nzuri. Vilevile mafuta halisi ya Mzaituni huwa wanachua kwenye mishipa ambayo ipo karibu na mapanja. Halafu wanasugua kwenye hiyo mishipa kwa kwenda mbele. Mafuta ya Mzaituni huwa yanasaidia kuzibua mishipa ya ufahamu.
Mungu hajauumba ubongo vizuri eeh? Hivi kama unatoka familia za vilaza unategemea ununue akili kwa mvuvi? Uncle wangu mmoja alizaliwa ziwa Tanganyika lakini mpaka drs 6 hakujua kusoma na kuandika.
 
Ukitaka kuzaa mtoto mwenye akili oa mke nweenye akili na lishe ifuate pamoja na mazingira bora.Unao kilaza halafu unatarajia geneus.
 
Ukitaka mwanao awe na akili epuka kumpa ugali.
Wazungu sio wapumbavu ujueeee,
Kuna uhusiano mkubwa kwenye ugali na upungufu wa ai kyu ya mwanao.

Maendeleo hayana chama
Ugali ni chakula kizuri sana ila usikoboe mahindi.
 
Mungu hajauumba ubongo vizuri eeh? Hivi kama unatoka familia za vilaza unategemea ununue akili kwa mvuvi? Uncle wangu mmoja alizaliwa ziwa Tanganyika lakini mpaka drs 6 hakujua kusoma na kuandika.
Unavyofikiri ndivyo unavyoishi.
 
Back
Top Bottom