Ili mtoto wako awe na akili nyingi mlishe sana samaki

amadid

Member
Aug 29, 2018
66
120
Nimewai kusikia ukitaka mtoto wako awe na akili nyingi penda sana kumpa MBOGA za samaki. Kingine nilisikia kuna vidonge unampa anameza wakati bado mtoto ira ivo vidonge nimevisahau jina. Au kama unajua njia nyingine yoyote tujuzane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama sijakosea mafuta ya samaki yanauzwa kwenye maduka ya madawa yanasaidia sana kwa hilo! Pia hata samaki ila mchemsho
Nimewai kusikia ukitaka mtoto wako awe na akili nyingi penda sana kumpa MBOGA za samaki. Kingine nilisikia kuna vidonge unampa anameza wakati bado mtoto ira ivo vidonge nimevisahau jina. Au kama unajua njia nyingine yoyote tujuzane

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna matunda fulani hivi Wahindi huwa wanatumia kuwapo watoto wao huwa yanasaidia kufanya ubongo kuhifadhi vitu vingi, ubongo unakuwa kama encyclopedia kwa maana ni kumbukumbu, kwa sababu elimu ni kumbukumbu. Kumbukumbu ikifeli basi huwezi kuhifadhi.

Zabibu kavu nazo zinasaidia kufanya ubongo kuwa na hifadhi nzuri. Vilevile mafuta halisi ya Mzaituni huwa wanachua kwenye mishipa ambayo ipo karibu na mapanja. Halafu wanasugua kwenye hiyo mishipa kwa kwenda mbele. Mafuta ya Mzaituni huwa yanasaidia kuzibua mishipa ya ufahamu.
 
Mimi sijui kama vyakula vinajenga ubongo tu au mwili mzima kwa ujumla. Akili nadhani ni mchanganyiko wa factors nyingi ,siyo chakula peke yake. Mtoto mwenye afya njema, na mazingira mazuri ya kumfundishia-hii inagalia unachomfundisha mtoto, na mfundishaji unauwezo gani katika kumfundisha hicho unachomfundisha, pili nyenzo za ufundishaji, na ushiriki wa mtoto mwenyewe katika mafunzo hayo.
Akili ni pana sana, siyo lazima iwe ya hizi shule zetu, inaweza kuwa katika mambo mengine, tegemeana na unachokusudia kukiachive kwa mtoto muhusika
 
Back
Top Bottom