Ili mradi wewe ni Jf member ujumbe huu unakuhusu (muhimu)

mkuu naunga mkono upande mmoja wa kutohofia yajayo; kuna kitu wanaita 'the power of now' hapa ni kujitahidi kufarahia mambo na kuacha kuogopa future ambayo woga unazidi unajikuta unaishi 'borrowed time' yaani too futuristic mpaka unashindwa kufurahia maisha yaliyopo....mfano unafanyiwa massage, ni nzuri sana kiasi unawaza ikiisha itakuwaje nitamudu kurudia, muda utatosha, baada ya hapa nini kinafuata- unakosa kufarahia yale massage uko worried kuhusu future.

Upande wa yaliopita nadhani ni muhimu sana kuendelea kuyakimbuka sababu tunajifunza kupitia hayo na pia yanatafasiri ww ni mtu wa aina gani japo yanaumiza.
 
Kitambo nimesugua kichwa
ni zawadi gani nimpe kila Jf member na hatimae nikapata hii .
Wewe member unaesoma haya niandikayo hii ni gift nakupa , kupitia ujumbe
kwamba :-

KATIKA maisha kamwe usijikumbushe matatizo yako yaliyokwisha pita .
Sababu
Yanaumiza !

AIDHA usiwaze sana yajayo,
Sababu
Yanatia hofu !
Maisha ni hapo ulipo, kwa maana ya muda huu ulionao .
Wangapi-wangapi walipanda vitandani mwao wakiwa wazima kwa afya zao,
huku vichwani mwao wana chanel lukuki za kuboresha maisha yao .
Lakini pakaamkwa asubuhi majina yao yamebadilika wakaitwa maiti ?

MAAZIMIO yako ni kielelezo cha maisha bora yajayo.
Tazama mbele kwa kujiamini .
Geuka nyuma kwa tahadhari .
Na angalia hapo ulipo kwa matumaini .

My fellow member, nakutakia mafanikio mema katika jitihada zako za
kimaendeleo katika kila ulichokidhamiria .
Jumapili njema,
Judgement .

Thanx mkuu,ni bonge la gift kwangu kwa siku ya leo! keep it up!
 
Kuna jambo ambalo naamini. Kwamba ni bora mtu akupe mbinu au akuonyeshe njia ya kupata chakula cha kila siku ili siku hasipokuwepo isiwe shida kwako. Kuliko mtu akupatie chakula kwani siku akitoweka hutopata tena kile chakula.
Hiki ulichotoa ni mbegu ambazo tukitumia vizuri tutapata chakula na tutakula milele.
 
mkuu naunga mkono upande mmoja wa kutohofia yajayo; kuna kitu wanaita 'the power of now' hapa ni kujitahidi kufarahia mambo na kuacha kuogopa future ambayo woga unazidi unajikuta unaishi 'borrowed time' yaani too futuristic mpaka unashindwa kufurahia maisha yaliyopo....mfano unafanyiwa massage, ni nzuri sana kiasi unawaza ikiisha itakuwaje nitamudu kurudia, muda utatosha, baada ya hapa nini kinafuata- unakosa kufarahia yale massage uko worried kuhusu future.

Upande wa yaliopita nadhani ni muhimu sana kuendelea kuyakimbuka sababu tunajifunza kupitia hayo na pia yanatafasiri ww ni mtu wa aina gani japo yanaumiza.

Thanks for your comments!
 
Kitambo nimesugua kichwa ni zawadi gani nimpe kila Jf member na hatimae nikapata hii .
Wewe member unaesoma haya niandikayo hii ni gift nakupa , kupitia ujumbe kwamba :-

KATIKA maisha kamwe usijikumbushe matatizo yako yaliyokwisha pita .
Sababu
Yanaumiza !

AIDHA usiwaze sana yajayo,
Sababu
Yanatia hofu !
Maisha ni hapo ulipo, kwa maana ya muda huu ulionao .
Wangapi-wangapi walipanda vitandani mwao wakiwa wazima kwa afya zao, huku vichwani mwao wana chanel lukuki za kuboresha maisha yao .
Lakini pakaamkwa asubuhi majina yao yamebadilika wakaitwa maiti ?

MAAZIMIO yako ni kielelezo cha maisha bora yajayo.
Tazama mbele kwa kujiamini .
Geuka nyuma kwa tahadhari .
Na angalia hapo ulipo kwa matumaini .

My fellow member, nakutakia mafanikio mema katika jitihada zako za kimaendeleo katika kila ulichokidhamiria .
Jumapili njema,
Judgement .
Thanks kiongozi am inspired
 
Mkuu Judgment asante sana kwa the useful post. Natumia mchina ningekupa like ila jioni njema sana kwako jumapili hii
 
Last edited by a moderator:
Mkuu i have no zawadi ya kukupa lakin only sayin the same 2u.Life z struggle n we've 2struggle with all eforts .

MUNGU AMESHATUBARIKI kaz ni kwe2 2
 
Back
Top Bottom