Ili mradi wewe ni Jf member ujumbe huu unakuhusu (muhimu)

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Kitambo nimesugua kichwa ni zawadi gani nimpe kila Jf member na hatimae nikapata hii .
Wewe member unaesoma haya niandikayo hii ni gift nakupa , kupitia ujumbe kwamba :-

KATIKA maisha kamwe usijikumbushe matatizo yako yaliyokwisha pita .
Sababu
Yanaumiza !

AIDHA usiwaze sana yajayo,
Sababu
Yanatia hofu !
Maisha ni hapo ulipo, kwa maana ya muda huu ulionao .
Wangapi-wangapi walipanda vitandani mwao wakiwa wazima kwa afya zao, huku vichwani mwao wana chanel lukuki za kuboresha maisha yao .
Lakini pakaamkwa asubuhi majina yao yamebadilika wakaitwa maiti ?

MAAZIMIO yako ni kielelezo cha maisha bora yajayo.
Tazama mbele kwa kujiamini .
Geuka nyuma kwa tahadhari .
Na angalia hapo ulipo kwa matumaini .

My fellow member, nakutakia mafanikio mema katika jitihada zako za kimaendeleo katika kila ulichokidhamiria .
Jumapili njema,
Judgement .
 
Shukrani kwa neno muafaka
 
Nashukuru.
Lakini hebu ngoja nikupinge kidogo:

KATIKA maisha kamwe usijikumbushe matatizo yako yaliyokwisha pita .
Sababu
Yanaumiza !

Usipoangalia nyuma unaweza jikuta unarudia makosa.
Geuka nyuma utazame ulipojikwaa ili siku ingine upite kwa tahadhari.
Bora ukweli mchungu kuliko Uongo Mtamu (Rejea Signecha ya Booooflooo)

AIDHA usiwaze sana yajayo,
Sababu
Yanatia hofu !
Maisha ni hapo ulipo, kwa maana ya muda huu ulionao .
Wangapi-wangapi walipanda vitandani mwao wakiwa wazima kwa afya zao, huku vichwani mwao wana chanel lukuki za kuboresha maisha yao .
Lakini pakaamkwa asubuhi majina yao yamebadilika wakaitwa maiti ?

Ni vizuri tukawa na wasiwasi kuhusu kesho ili tujiandae kuikabili hiyo kesho.
Tusipowaza kuhusu kesho ni ngumu kusonga mbele..

MAAZIMIO yako ni kielelezo cha maisha bora yajayo.

Hapa nakubaliana na wewe.

My fellow member, nakutakia mafanikio mema katika jitihada zako za kimaendeleo katika kila ulichokidhamiria .
Jumapili njema,
Judgement .

Shukrani Mkuu.
Wishing you the same.
 
Nashukuru.
Lakini hebu ngoja nikupinge kidogo:

Usipoangalia nyuma unaweza jikuta unarudia makosa.
Geuka nyuma utazame ulipojikwaa ili siku ingine upite kwa tahadhari.
Bora ukweli mchungu kuliko Uongo Mtamu (Rejea Signecha ya Booooflooo)

Ni vizuri tukawa na wasiwasi kuhusu kesho ili tujiandae kuikabili hiyo kesho.
Tusipowaza kuhusu kesho ni ngumu kusonga mbele..

Hapa nakubaliana na wewe.

Shukrani Mkuu.
Wishing you the same.

Nikujibu hivi , la kwanza kuwaza ya nyuma! Kunajibiwa na "geuka nyuma kwa tahadhari "
La pili , kuwaza ya jayo nimeisemea "usiwaze sana yajayo maana yanatia hofu" it mean , waza but not much !
Ingesoma "usiwaze kabisa yajayo" ingeleta maana unayosema.
Nway thanks for comments .
 
Poa poa Mkuu. Pamoja
 
Asante sana. Karibu ugali na tembele la karanga

Kwa vyote asante, but Karanga tu , hapo ndo kwangu mtihani !
Afu rejea kule kwenye uzi wa yule aliyependekeza tujuane kwa majina ya nchi na capital city , ulipojibu Makirikiri kuna pills zako kachukue umeze!
 
Back
Top Bottom