Ili kuwekeana heshima kwenye mchezo ujao wa Simba na Yanga, Simba ishinde goli 5 kwa 0

Nawaona mashabiki wa mikia mnahisi itakuwa mteremuko sana, mtapatwa na ugonjwa wa kutetemeka naona hamuujui mpira tabia yake!!!
Wakuu, itabidi Katikati mtanange ujao, Wekundu wa Msimbazi wawapige Yanga sio chini ya goli tano ili tuheshimiane.....
IMG-20190211-WA0015.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya yanga mpigeni leo Al Ahly hizo 5 ili uheshimike zåidi
Hawa Mikia wana matatizo. Eti wanaacha kufikiria game ya leo namna watavyonyongwa pale taifa dhidi ya red devils wa Afrika wao wapo kuifikiria game na Yanga. Badala ya kutafuta heshima ktk bara la Afrika wew unasubiri heshima ndani ya Tanzania.
 
Ya leo waliashafeli wamefungwa kabla ya mechi kuanza
 
Back
Top Bottom