Ili kuwalegeza msimamo Ukawa. Serikali iliwaingizia wabunge mshahara na posho zote leo.

duanzi

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
16,428
216
Leo asubuhi wabunge wamelipwa mshahara na malimbikizo yao ya posho yote waliokuwa wanadai. Dhumuni kubwa inasemekana ni ili kuwalegeza msimamo wabunge wa Ukawa na wamefanikiwa . Hongera sana Mwigulu Nchemba kwa mbinu hii kali ya kijasusi uliyoitumia.
 
Mbona walishaacha laki tatu kwa siku katika bunge la katiba? naona una ugonjwa wa kusahahu sahau, au akili yako ni ndogo kama piriton
 
Leo asubuhi wabunge wamelipwa mshahara na malimbikizo yao ya posho yote waliokuwa wanadai. Dhumuni kubwa inasemekana ni ili kuwalegeza msimamo wabunge wa Ukawa na wamefanikiwa . Hongera sana Mwigulu Nchemba kwa mbinu hii kali ya kijasusi uliyoitumia.
Unahangaika bure na porojo zako za kishamba!
 
Leo asubuhi wabunge wamelipwa mshahara na malimbikizo yao ya posho yote waliokuwa wanadai. Dhumuni kubwa inasemekana ni ili kuwalegeza msimamo wabunge wa Ukawa na wamefanikiwa . Hongera sana Mwigulu Nchemba kwa mbinu hii kali ya kijasusi uliyoitumia.
Uharo!!!! Leo hata buku 2 walahi hupati!
 
Wewe hautumii akili,hiyo ni haki yao lazima walipwe tena mie naona wamecheleweshewa mshahara ilitakiwa tangia tar 22 wawe washapata hela.
 
Leo asubuhi wabunge wamelipwa mshahara na malimbikizo yao ya posho yote waliokuwa wanadai. Dhumuni kubwa inasemekana ni ili kuwalegeza msimamo wabunge wa Ukawa na wamefanikiwa . Hongera sana Mwigulu Nchemba kwa mbinu hii kali ya kijasusi uliyoitumia.

Kwani mshahara ni rushwa au hisani? au hujui kuwa ni msimu wa kulipa mishahara?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom