Ili kuwa verified katika Mtandao wa Maga Hub wa Donald Trump utalipia (MAGA Hub Premium)

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,036
20,337
Mtandao wa Maga Hub-Truth social Trump ambao unamilikiwa na aliyekuwa Rais wa Marekani Bwana Donald Trump umeweka njia ya malipo kwa watumiaji wake wanao taka kuwa verified na blue tick.

Katika Mtandao huo kwa watumiaji waliopo Tanzania wao watalipia shilingi 68,000 na njia ya malipo kwa sasa ni kupitia Mtandao wa Vodacom na Njia ya Bank ya Mastercard.

Njia hii ya malipo inajulika kama MAGA Hub Premium na Faida nyingine ya Mega Hub Premium ni kutopata Matangazo wakati ukitumia Mtandao huo.
 
Back
Top Bottom