Uchaguzi 2020 Ili kushinda uchaguzi, upinzani unatakiwa kutumia akili ya ziada

Ni wakati wa kubadili dira na kuishi kinyume cha mazoea. Ni wakati wa CCM kukabidhi kijiti sasa, inaweza kuonekana ngumu kwa hatua hizi za awali lakini mwishowe itakuwa tu kama kumsukuma mlevi, kamba hukatikia pembamba.
CCM inapita katika mateso makubwa sana ya ndani kwa ndani,na hatima ya mateso haya itapata pigo kuuuuubwa sana pigo moja tu pigo takatifu pigo lililonyooka kabla ya uchaguzi mkuu ujao.
 
Back
Top Bottom