Ili kupunguza kubambikiwa watoto!


sokwe

sokwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
2,028
Likes
135
Points
160
sokwe

sokwe

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
2,028 135 160
Kumekuwa na ongezeko la kina mama kutupa watoto sio wetu, nafikiri ni wakati muafaka kuwe na taratibu za kupima DNA baada ya mtoto kuzaliwa!, maana Nina rafiki analia Kama mbwa alieona chatu ametendwa, Nomaaaa sana.
 

Forum statistics

Threads 1,252,277
Members 482,061
Posts 29,802,493