Ili kupona changamoto ya kupumua nawashauri wagonjwa kutafuna tangawizi

Kingdan

Member
May 5, 2020
61
49
Ndugu Wana jf wenzangu,

Baada ya mimi kusumbuliwa na maumivu ya koo na kifua kubana..hatimaye Nmepata suluhisho lake.

Ili kupona changamoto ya kupumua nawashauri wagonjwa kutafuna tangawizi tu.,na kama Ikiwezekana wanywe na maji ya limao.

Asubuhi na usiku kabla ya kulala

Asanteni.
Usisahau mrejesho
 
Back
Top Bottom