Ili Kumuenzi Hayati Rais Mstaafu Mkapa uwanja wa michezo alioujenga uitwe jina lake

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,445
4,704
Watanzania pole kwa msiba mzito wa kiongozi wetu Mh.Rais Mstaafu Ben Mkapa.

Nashauri ili tuendelee kumuenzi Kiongozi wetu basi Mamlaka husika ziupe jina ule Uwanja wa Michezo alioujenga ikiwa ni Kumbukumbu yake.
 
Watanzania pole kwa msiba mzito wa kiongozi wetu Mh.Rais Mstaafu Ben Mkapa.Nashauri ili tuendelee kumuenzi Kiongozi wetu basi Mamlaka husika Ziupe jina ule Uwanja wa Michezo alioujenga ikiwa ni Kumbukumbu yake.
vipi alivyoruhusu mabilioni ya EPA yakwapuliwe na CCM kwa ajili ya kampeni... je tumuenzije kwa huu "ushujaa" wa kukwapua mabilioni ya walala hoi?
 
vipi alivyoruhusu mabilioni ya EPA yakwapuliwe na CCM kwa ajili ya kampeni... je tumuenzije kwa huu "ushujaa" wa kukwapua mabilioni ya walala hoi?

RIP Mzee Mkapa....!!
Kuna 2 additional issues ambazo Marehemu alifanya zinazomnyima Haki hiyo:
1. Mauaji ya Wanna CUF zaidi ya 20 huko Pemba 2001 baada ya Uchaguzi Mkuu.
Simu
2. Ubinafishaji wa Kiholela kwa Mashirika ya Umma na kuhamishia baadhi ya Fedha kwenye Taasisi zake binafsi na Mkewe Anna: Mkapa Foundation na Simu2000...!
 
Mbona siku nyingi tu huu uwanja unaitwa kwa jina lake,jambo la kumuenzi Mzee Mkapa ni kuwa na Uchaguzi mkuu huru na wa haki mwaka huu,aliyeshinda atangazwe ameshinda bila figisu wala mbeleko ya vyombo vya dola
View attachment 1516123
 
Attachments

  • IMG_20200725_062956.jpg
    IMG_20200725_062956.jpg
    100.8 KB · Views: 1
vipi alivyoruhusu mabilioni ya EPA yakwapuliwe na CCM kwa ajili ya kampeni... je tumuenzije kwa huu "ushujaa" wa kukwapua mabilioni ya walala hoi?
Mabaya yake ahukumiwe yote ma mema yake ahukumiwe kama itakavyokuwa Mbinguni
 
Sawa kabisa uwanja upewe jina:Benjamin William Mkapa Stadium"
 
Watanzania pole kwa msiba mzito wa kiongozi wetu Mh.Rais Mstaafu Ben Mkapa.

Nashauri ili tuendelee kumuenzi Kiongozi wetu basi Mamlaka husika ziupe jina ule Uwanja wa Michezo alioujenga ikiwa ni Kumbukumbu yake.

Uwanja unaitwa Benjamin W. Mkapa National Stadium tangu ulivyo kamilika.
 
Mleta mada inaonekana hufatilii mambo kwa umakini zaidi unaongoza na mihemko na ushabk tu.

Uwanja toka unazinduliwa 2007 ulipewa jina la Benjamin W Mkapa National Stadium
 
Pale ni kwa mchina.

Na mkiuita tofauti na hili taifa staaz ijiandae kuchezea vichapo kila wakiikaribisha timu yoyote.
 
Back
Top Bottom