Ili Kujenga CHADEMA ya kushindana na CCM ya sasa, Tafuteni uongozi mpya, Waondoeni Mwenyekiti Mbowe, Makamu Mwenyekiti Lissu na Katibu Mnyika

Ni ukweli mchungu kwa kwa Makamanda wa Chadema, na hakuna Kamanda atakayekubali kuwa Chadema ya sasa imekwisha, haina uwezo wa kuleta upinzani kwa Chama tawala ambacho kimepata Makamu Mwenyekiti mpya.

Kila movement ambayo CHADEMA mnafanya kwa sasa inafeli vibaya saana, Join the chain imefeli vibaya saana, Chadema ya sasa inazidiwa hata na ACT ya bwana yule. CHADEMA ya kweli ilikuwa ile ya Dr Wilbroad Slaa tu, baada ya hapo CHADEMA imekuwa ikijongea kaburini kidogo kidogo na msipo anza upya baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 Chama chenu hakitakuwa na utofauti na kile chama cha yule jamaa wa kugawa ubwabwa kwenye mikutano ya kampeni.

Mheshimiwa Freeman Mbowe, kama Mwenyekiti wa CHADEMA kwa sasa ni muda wake wa kupumzika, amekifanyia mambo makubwa CHADEMA na atakumbukwa kwa mchango wake katika siasa za upinzani, lakini Mheshimiwa Mbowe kwa sasa hana jipya la kuweza kuwaambia Watanzania wakakiunga mkono CHADEMA, hakuna Mtanzania atakayeunga mkono siasa za matukio, Vijana wengi sasa ni wasomi wanaotaka sera na sio matukio, Mbowe alikifaa Chama kipindi hicho cha siasa za harakati. CHADEMA mnahitaji Mwenyekiti mpya na hii itakuwa njia bora ya kuonyesha mna demokrasia ya kweli, Mkipata mwenyekiti mpya atajenga CHADEMA ili kuja kushindana na CCM miaka 15- 20 ijayo.

Ndugu John Mnyika , kama katibu wa CHADEMA , najua makamanda wote mnajua ukweli kuwa Mnyika mnamlazimisha tu kuendelea kuwa Katibu wa Chama lakini yeye muda mrefu amekuwa anataka kupumzika, Mnyika si mtu wa siasa za kiharakati wala si muumini wa siasa za matukio. Mnyika yule wa kujenga hoja akili yake sasa iko mapumzikoni mwili tu umebaki CHADEMA, Mnyika hawezi kukisaidia CHADEMA kwa sasa. Mnyika ameamua kukaa kimya, ni bora mkamuacha apumzike tafuteni Katibu mpya wa kuweza angalau kufikia uwezo wa Komredi Chongolo

Ngugu Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama, huyu ni Muumini wa siasa za kiharakati na siasa za matukio ambazo kwa sasa hazina nafasi katika Tanzania inayoendesha Siasa za kistarabu, siasa za utu na kuheshimiana, CCM wamepata Makamu Mwenyekiti hodari na nguli wa siasa za Tanzania, CHADEMA mnahitaji kupata Makamu Mwenyekiti ambaye ana weza fikia hata robo ya uwezo wa Kinana, najua ni ngumu kumpata mtu mwenye uzoefu na uwezo wa Komredi Kinana. Muacheni Ndugu Lissu aendelee na ajira yake UN, kwa aliyopitia ndugu yetu Lissu anahitaji muda mwingi wa kupumzika na kumtumikia Mwenyezi Mungu.

Siasa za kwenye mitandao huko the space na twitter hazitawasaidia kwa sasa.

Kuanza upya haijawahi kuwa vibaya, hata yule ndugu yenu wa ACT alikubali kuanza upya.

MUNGU IBARIKI TANZANIA , MUNGU MBARIKI RAIS WETU SAMIA SULUHU HASSAN.

Kabla ya kukimbilia Chama chaguzi lazima ziwe huru. Kaa na ndoto zako wananchi wanajua kinachoendelea
 
Ndio siku chadema inakufa kibudu..mana kijani wataweka pandikizi lao.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wewe jamaa huijui chadema umekurupuka hiki ni chama Cha wachaga walikiasisi wakati wanakunywa mbege baada ya kujua kuwa hawewezi kupewa urais kwa sababu za ukabila wao

USSR
Sikuhizi kumbe uraisi unapewa.?

#MaendeleoHayanaChama
 
Ni ukweli mchungu kwa kwa Makamanda wa Chadema, na hakuna Kamanda atakayekubali kuwa Chadema ya sasa imekwisha, haina uwezo wa kuleta upinzani kwa Chama tawala ambacho kimepata Makamu Mwenyekiti mpya.

Kila movement ambayo CHADEMA mnafanya kwa sasa inafeli vibaya saana, Join the chain imefeli vibaya saana, Chadema ya sasa inazidiwa hata na ACT ya bwana yule. CHADEMA ya kweli ilikuwa ile ya Dr Wilbroad Slaa tu, baada ya hapo CHADEMA imekuwa ikijongea kaburini kidogo kidogo na msipo anza upya baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 Chama chenu hakitakuwa na utofauti na kile chama cha yule jamaa wa kugawa ubwabwa kwenye mikutano ya kampeni.

Mheshimiwa Freeman Mbowe, kama Mwenyekiti wa CHADEMA kwa sasa ni muda wake wa kupumzika, amekifanyia mambo makubwa CHADEMA na atakumbukwa kwa mchango wake katika siasa za upinzani, lakini Mheshimiwa Mbowe kwa sasa hana jipya la kuweza kuwaambia Watanzania wakakiunga mkono CHADEMA, hakuna Mtanzania atakayeunga mkono siasa za matukio, Vijana wengi sasa ni wasomi wanaotaka sera na sio matukio, Mbowe alikifaa Chama kipindi hicho cha siasa za harakati. CHADEMA mnahitaji Mwenyekiti mpya na hii itakuwa njia bora ya kuonyesha mna demokrasia ya kweli, Mkipata mwenyekiti mpya atajenga CHADEMA ili kuja kushindana na CCM miaka 15- 20 ijayo.

Ndugu John Mnyika , kama katibu wa CHADEMA , najua makamanda wote mnajua ukweli kuwa Mnyika mnamlazimisha tu kuendelea kuwa Katibu wa Chama lakini yeye muda mrefu amekuwa anataka kupumzika, Mnyika si mtu wa siasa za kiharakati wala si muumini wa siasa za matukio. Mnyika yule wa kujenga hoja akili yake sasa iko mapumzikoni mwili tu umebaki CHADEMA, Mnyika hawezi kukisaidia CHADEMA kwa sasa. Mnyika ameamua kukaa kimya, ni bora mkamuacha apumzike tafuteni Katibu mpya wa kuweza angalau kufikia uwezo wa Komredi Chongolo

Ngugu Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama, huyu ni Muumini wa siasa za kiharakati na siasa za matukio ambazo kwa sasa hazina nafasi katika Tanzania inayoendesha Siasa za kistarabu, siasa za utu na kuheshimiana, CCM wamepata Makamu Mwenyekiti hodari na nguli wa siasa za Tanzania, CHADEMA mnahitaji kupata Makamu Mwenyekiti ambaye ana weza fikia hata robo ya uwezo wa Kinana, najua ni ngumu kumpata mtu mwenye uzoefu na uwezo wa Komredi Kinana. Muacheni Ndugu Lissu aendelee na ajira yake UN, kwa aliyopitia ndugu yetu Lissu anahitaji muda mwingi wa kupumzika na kumtumikia Mwenyezi Mungu.

Siasa za kwenye mitandao huko the space na twitter hazitawasaidia kwa sasa.

Kuanza upya haijawahi kuwa vibaya, hata yule ndugu yenu wa ACT alikubali kuanza upya.

MUNGU IBARIKI TANZANIA , MUNGU MBARIKI RAIS WETU SAMIA SULUHU HASSAN.
Wewe chama gani tuanziye hapo.
 
Unamaanisha;

Kwamba Chadema wakibadilisha uongozi ndio mtaacha kuiba kura?

Kwamba huwa mnaiba kura kwasababu hamuwapendi viongozi waliopo sasa wa Chadema?

Umeandika hoja ya kitoto sana.

Kama nyie hamuwaamini viongozi waliopo sasa Chadema sioni tatizo, watanzania wanawaamini ndio maana huwapa kura zao, na kuficha kwenu aibu mkaona mzuie na mikutano ya siasa.
Mzee Watanzania wapi wanaowaamini viongozi wa CHADEMA? Hakuna kiongozi hata mmoja wa CHADEMA anayeaminika kwa sasa
 
Ni ukweli mchungu kwa kwa Makamanda wa Chadema, na hakuna Kamanda atakayekubali kuwa Chadema ya sasa imekwisha, haina uwezo wa kuleta upinzani kwa Chama tawala ambacho kimepata Makamu Mwenyekiti mpya.

Kila movement ambayo CHADEMA mnafanya kwa sasa inafeli vibaya saana, Join the chain imefeli vibaya saana, Chadema ya sasa inazidiwa hata na ACT ya bwana yule. CHADEMA ya kweli ilikuwa ile ya Dr Wilbroad Slaa tu, baada ya hapo CHADEMA imekuwa ikijongea kaburini kidogo kidogo na msipo anza upya baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 Chama chenu hakitakuwa na utofauti na kile chama cha yule jamaa wa kugawa ubwabwa kwenye mikutano ya kampeni.

Mheshimiwa Freeman Mbowe, kama Mwenyekiti wa CHADEMA kwa sasa ni muda wake wa kupumzika, amekifanyia mambo makubwa CHADEMA na atakumbukwa kwa mchango wake katika siasa za upinzani, lakini Mheshimiwa Mbowe kwa sasa hana jipya la kuweza kuwaambia Watanzania wakakiunga mkono CHADEMA, hakuna Mtanzania atakayeunga mkono siasa za matukio, Vijana wengi sasa ni wasomi wanaotaka sera na sio matukio, Mbowe alikifaa Chama kipindi hicho cha siasa za harakati. CHADEMA mnahitaji Mwenyekiti mpya na hii itakuwa njia bora ya kuonyesha mna demokrasia ya kweli, Mkipata mwenyekiti mpya atajenga CHADEMA ili kuja kushindana na CCM miaka 15- 20 ijayo.

Ndugu John Mnyika , kama katibu wa CHADEMA , najua makamanda wote mnajua ukweli kuwa Mnyika mnamlazimisha tu kuendelea kuwa Katibu wa Chama lakini yeye muda mrefu amekuwa anataka kupumzika, Mnyika si mtu wa siasa za kiharakati wala si muumini wa siasa za matukio. Mnyika yule wa kujenga hoja akili yake sasa iko mapumzikoni mwili tu umebaki CHADEMA, Mnyika hawezi kukisaidia CHADEMA kwa sasa. Mnyika ameamua kukaa kimya, ni bora mkamuacha apumzike tafuteni Katibu mpya wa kuweza angalau kufikia uwezo wa Komredi Chongolo

Ngugu Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama, huyu ni Muumini wa siasa za kiharakati na siasa za matukio ambazo kwa sasa hazina nafasi katika Tanzania inayoendesha Siasa za kistarabu, siasa za utu na kuheshimiana, CCM wamepata Makamu Mwenyekiti hodari na nguli wa siasa za Tanzania, CHADEMA mnahitaji kupata Makamu Mwenyekiti ambaye ana weza fikia hata robo ya uwezo wa Kinana, najua ni ngumu kumpata mtu mwenye uzoefu na uwezo wa Komredi Kinana. Muacheni Ndugu Lissu aendelee na ajira yake UN, kwa aliyopitia ndugu yetu Lissu anahitaji muda mwingi wa kupumzika na kumtumikia Mwenyezi Mungu.

Siasa za kwenye mitandao huko the space na twitter hazitawasaidia kwa sasa.

Kuanza upya haijawahi kuwa vibaya, hata yule ndugu yenu wa ACT alikubali kuanza upya.

MUNGU IBARIKI TANZANIA , MUNGU MBARIKI RAIS WETU SAMIA SULUHU HASSAN.
Daniel Chongolo saizi yake John Pambalu tu
 
Ccm they are here to stay jomba

Ccm itaanguka, lbda itoke wao wavurugane kweri kweri

Ushambiwa chama $,wao chama na serikali

Ova
 
Hivi kumbe huoni yaliyojiri . Uchaguzi wa kuiba kura 2020 .uliona moto wake ?. Wasingemshikilia mbowe kwa visingizio vyote hivyo. Takwimu zinaonyesha kuwa uchaguzi ukiwa huru na HAKI kwa Mara ya kwanza wapinzani wanachukua . Swala si sera pekee za chama . Watu wameichoka kijani . Magufuli ilikuwa ndiyo risasi ya ccm ya mwisho . Tusubiri uone
Takwimu za wapi mkuu zinazo onyesha hivyo?
 
Mzee Watanzania wapi wanaowaamini viongozi wa CHADEMA? Hakuna kiongozi hata mmoja wa CHADEMA anayeaminika kwa sasa
Wewe ni msemaji wao toka lini?

Waacheni waseme wenyewe kwenye mikutano ya hadhara ya siasa mpate majibu yenu.
 
Ni ukweli mchungu kwa kwa Makamanda wa Chadema, na hakuna Kamanda atakayekubali kuwa Chadema ya sasa imekwisha, haina uwezo wa kuleta upinzani kwa Chama tawala ambacho kimepata Makamu Mwenyekiti mpya.

Kila movement ambayo CHADEMA mnafanya kwa sasa inafeli vibaya saana, Join the chain imefeli vibaya saana, Chadema ya sasa inazidiwa hata na ACT ya bwana yule. CHADEMA ya kweli ilikuwa ile ya Dr Wilbroad Slaa tu, baada ya hapo CHADEMA imekuwa ikijongea kaburini kidogo kidogo na msipo anza upya baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 Chama chenu hakitakuwa na utofauti na kile chama cha yule jamaa wa kugawa ubwabwa kwenye mikutano ya kampeni.

Mheshimiwa Freeman Mbowe, kama Mwenyekiti wa CHADEMA kwa sasa ni muda wake wa kupumzika, amekifanyia mambo makubwa CHADEMA na atakumbukwa kwa mchango wake katika siasa za upinzani, lakini Mheshimiwa Mbowe kwa sasa hana jipya la kuweza kuwaambia Watanzania wakakiunga mkono CHADEMA, hakuna Mtanzania atakayeunga mkono siasa za matukio, Vijana wengi sasa ni wasomi wanaotaka sera na sio matukio, Mbowe alikifaa Chama kipindi hicho cha siasa za harakati. CHADEMA mnahitaji Mwenyekiti mpya na hii itakuwa njia bora ya kuonyesha mna demokrasia ya kweli, Mkipata mwenyekiti mpya atajenga CHADEMA ili kuja kushindana na CCM miaka 15- 20 ijayo.

Ndugu John Mnyika , kama katibu wa CHADEMA , najua makamanda wote mnajua ukweli kuwa Mnyika mnamlazimisha tu kuendelea kuwa Katibu wa Chama lakini yeye muda mrefu amekuwa anataka kupumzika, Mnyika si mtu wa siasa za kiharakati wala si muumini wa siasa za matukio. Mnyika yule wa kujenga hoja akili yake sasa iko mapumzikoni mwili tu umebaki CHADEMA, Mnyika hawezi kukisaidia CHADEMA kwa sasa. Mnyika ameamua kukaa kimya, ni bora mkamuacha apumzike tafuteni Katibu mpya wa kuweza angalau kufikia uwezo wa Komredi Chongolo

Ngugu Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama, huyu ni Muumini wa siasa za kiharakati na siasa za matukio ambazo kwa sasa hazina nafasi katika Tanzania inayoendesha Siasa za kistarabu, siasa za utu na kuheshimiana, CCM wamepata Makamu Mwenyekiti hodari na nguli wa siasa za Tanzania, CHADEMA mnahitaji kupata Makamu Mwenyekiti ambaye ana weza fikia hata robo ya uwezo wa Kinana, najua ni ngumu kumpata mtu mwenye uzoefu na uwezo wa Komredi Kinana. Muacheni Ndugu Lissu aendelee na ajira yake UN, kwa aliyopitia ndugu yetu Lissu anahitaji muda mwingi wa kupumzika na kumtumikia Mwenyezi Mungu.

Siasa za kwenye mitandao huko the space na twitter hazitawasaidia kwa sasa.

Kuanza upya haijawahi kuwa vibaya, hata yule ndugu yenu wa ACT alikubali kuanza upya.

MUNGU IBARIKI TANZANIA , MUNGU MBARIKI RAIS WETU SAMIA SULUHU HASSAN.
Upuuzi.
 
Back
Top Bottom