Ili kuinua uchumi wa Taifa kwanza inatakiwa kuwa na utawala bora na siasa safi

Festo Muyenjwa

New Member
Jan 24, 2015
1
0
UCHUMI NA BIASHARA: Kwakweli serekali ya Tanzania ya awamu ya sita Ili kuinua uchumi wa Taifa kwanza inatakiwa kuwa utawala Bora siasa safi, Amani ya kwa wote usawa, ukusanyaji wa kodi ,elimu Bora, afya nk

1. Uchumi: Suala la uchumi inatakiwa iangaliwe kwa jicho la karibu na elimu itolewe kwa walipa Kodi Ili kukuza uchumi na wananchi waone umuhimu wa kulipa Kodi ,pia wananchi waruhissiwe kufanya biashara Halili pia walipe Kodi kulingana na kipato Chao

2. AFYA: Kila Mtanzania anahaki yakupata huduma Bora za afya bila kubagua jinsia,ukabila,ukanda Wala itikadi hivyo serekali iimarishe upatikanaji wa dawa ,Miundombinu kwenye vituo vya afya hospitali,kuongeza wafanyakazi pamoja na motisha ya nyingeza ya mishahara kwa wafanyakazi Ili kusaidia kutoa huduma nzuri na Bora iliwa ni pamoja na kusimamia na kushawishi Kila mtanzania apate Bima ya afya Ili kuweza kupata matibabu kwa urahisi na kwa haraka

3. UTAWALA BORA: Serekali kuu iliongozwa na mh Raisi pamoja na watawala wote wahakikishe wanalsimania Amani kwa wote kuruhusu mikutano ya siasa kwa wapinzani na kukubaki kukosolewa Ili serekali ipate mahali pa kujifunza na kurekebisha matatizo yanayokuwepo hasa kwenye jamii.

4. KILIMO: Suala la kilimo ndio uti wa mgongo wa Taifa hivyo kwa Dunia ya sasa ya sayansi na teknologia serekali na mashirika ihimize na kuelimisha wakulima kulima kilimo cha kisasa pamoja na kutumia mbegu za kisasa,pembeje na mbolea ambazo hukuza mazao na mavuno, Bora inayofaa kuuza na kuinua uchumi wa mkulima na Taifa kwa Ujumla & itasaidia kwenye solo la ushindani la duni kwenye sherehe za wakulima kama Nanenane au Sabasaba

5. TEKNOLOJIA: Ni muhimu kwa Nchi na watanzania wote kuishi na kutumia techologia ikiwa ni pamoja na kutumia vyuo kutoa wataalam wa Kila nyanja ya technology na kuwaajiri kwenye viwanda vyetu Ili kuongeza ufanisi katika kazi na sio kutegemea wataalam kutoka nje kurekebisha mitambo ya umeme, au mashine mbali mbali
 
Back
Top Bottom