Ili kuepuka usumbufu na gharama zisizo za lazima Fanya yafuatayo kabla ya kwenda makao makuu ya Uhamiaji Kurasini Dar

1.Toa kopi ya vyeti/vitambulisho vyako kabisa kama kuna uhitaji wa kufanya hivo :make steshenari za maeneo yale wengi wana bei za kukomoana (mfano kuna steshenari bei ya kopi sh 500 kwa page Moja) -wenye mipesa waache watoe pale kopi

2. Nenda na Passport size zako kabisa kama kuna umuhim wa kufanya hivo ili kuepuka bei ambayo hutoiweza.

3.Usiende na begi Kama huna gari binafsi ya kwenda nayo -Hakuna anaye ruhusiwa kupita getini na begi, isipokuwa mikoba tu kwa akina mama /mabinti

i.e beba nyaraka kwenye bahasha au small hand bag. Ukienda na begi utaambiwa na walinzi kuwa tafuta mtu /sehemu huko nje uweke. Kuna steshenari au cafeteria nje wanatoza 1000 kukuwekea begi ingawa usalama wao siuamini.

Ikiwa utakuwa na vitu vya thamani kwenye begi kama laptop cjui kama ukimuachia mtu pale utakaa kwa amani( kwa utapeli wa Dar ....). Ukiwa na gari binafsi hutapata shida begi utafungia kwenye gari lako

4.Usiende umevaa suruari oversize make pale getini kwenye ukaguzi unavua mpaka mkanda wa suruari. So kama suruari yako inavuka pindi unapovua mkanda usithubutu kwenda na hilo bwanga Lako.

Baadhi ya walinzi mkanda hawakwambii vua. Mi Mara ya kwanza skuvua mkanda ,mara ya pili nliambiwa nivue mkanda. Isipokuwa mkanda wako uwe haujatengenezwa na aina yoyote ya chuma.

5.Kama una-Apply passport jaza fomu online ili uiprinti na kwenda nayo kabisa kuepuka usumbufu wa kujazia pale ikiwemo kupoteza muda.

NB:Sina lengo la kuharibu biashara za watu wa steshenari maeneo Yale ila nakupa tahadhari wewe mwenzangu namimi ambaye buku kwako ni Kama msimbazi

Mengine wataleta wengine
Endelea kusoma
 
Unaonaje km ungetwambia documents zinazo takiwa ili mtu aweze kupata passport?
Unaonaje km ungetwambia inachukua muda gani hadi kupata hy passport? Kuliko kulalamikia stationary za watu?
Inaonekana book kwako ni kubwa kwa kutoa copy ya itakayo fanya upate passport itakayo kupeleka mambele. Wengine hua hatuangali hilo tunaangalia matokeo ya kutoa copy,
Kwani mbona form za immigration una download kwa elfu 20 mbona hujalalama?
Download kwa ishilini bado unaprint so inachukua zaid ya elfu 20 mbona husemi hilo?
 
NIMEPATA PASSPORT NDANI YA SIKU 3, NIME-APPLY J3 NKAIPATA J5
 
Ili kuepuka usumbufu na gharama zisizo za lazima Fanya yafuatayo kabla ya kwenda makao makuu ya Uhamiaji Kurasini Dar

1.Toa kopi ya vyeti/vitambulisho vyako kabisa kama kuna uhitaji wa kufanya hivo :make steshenari za maeneo yale wengi wana bei za kukomoana (mfano kuna steshenari bei ya kopi sh 500 kwa page Moja) -wenye mipesa waache watoe pale kopi

2. Nenda na Passport size zako kabisa kama kuna umuhim wa kufanya hivo ili kuepuka bei ambayo hutoiweza.

3.Usiende na begi Kama huna gari binafsi ya kwenda nayo -Hakuna anaye ruhusiwa kupita getini na begi, isipokuwa mikoba tu kwa akina mama /mabinti

i.e beba nyaraka kwenye bahasha au small hand bag. Ukienda na begi utaambiwa na walinzi kuwa tafuta mtu /sehemu huko nje uweke. Kuna steshenari au cafeteria nje wanatoza 1000 kukuwekea begi ingawa usalama wao siuamini.

Ikiwa utakuwa na vitu vya thamani kwenye begi kama laptop cjui kama ukimuachia mtu pale utakaa kwa amani( kwa utapeli wa Dar ....). Ukiwa na gari binafsi hutapata shida begi utafungia kwenye gari lako

4.Usiende umevaa suruari oversize make pale getini kwenye ukaguzi unavua mpaka mkanda wa suruari. So kama suruari yako inavuka pindi unapovua mkanda usithubutu kwenda na hilo bwanga Lako.

Baadhi ya walinzi mkanda hawakwambii vua. Mi Mara ya kwanza skuvua mkanda ,mara ya pili nliambiwa nivue mkanda. Isipokuwa mkanda wako uwe haujatengenezwa na aina yoyote ya chuma.

5.Kama una-Apply passport jaza fomu online ili uiprinti na kwenda nayo kabisa kuepuka usumbufu wa kujazia pale ikiwemo kupoteza muda.

NB:Sina lengo la kuharibu biashara za watu wa steshenari maeneo Yale ila nakupa tahadhari wewe mwenzangu namimi ambaye buku kwako ni Kama msimbazi

Mengine wataleta wengine
Umaskini wa fedha pia mbaya sana tufanye kazi kujukwamua
 
Ubarikiwe umewaokoa mamia wenye shida
 
Asante umesahau pia kwenda na stamp... stampe ni mia tano (500) but kwa pale ni 1500 so ni vema ukawa na stamp zako. nikimaanisha stamp duty.
 
Ni sawa na kumtembelea maabusu kwa Tanzania ni kichekesho kisichokuwa na kitendawili...... Maana hata swewe mwenyewe unafanywa kama ni miongonzi mwa wahalifu....... huruhusiwi kubebe hata saa mbaya zaidi pale maji ya uhai lita 5-6 elfu 3,000 wakti huwa ni elf2000. Soda ya Azam cola ni 1000 mkate ni 1,500 sabuni 2500 badala 1500 lazima utatia akili kabisa andazi la shilingine 150-200 ni shilingi 400 lazima akili ikuae sawa .
 
mbona inakuwa kama adhabu fulani hivi!
 
mbona inakuwa kama adhabu fulani hivi!
Hayo ni mambo ya kukumoana bila sababu ya msingi; Taasisi, Idara na Ofisi za Serikali bado zina urasimu mwingi sana wakifanikiwa kuondoa hili nadhani Tanzania yetu itaendelea hata kesho wakimaliza urasimu keshokutwa Tanzania inapiga hatua za uhakika.
 
wapiga dili wapo kila sehemu
kiufupi huu ni wizi
 
Back
Top Bottom