Ili kuepuka possibility ya kutawaliwa na wageni, kuna haja kutumia DNA kuthibitisha asili halisi za viongozi wetu wakuu?

Story ndeeefu utumbo mtupu.
Pascal hivi ktk Minakasha yote inayojadiliwa na wananchi Tz umeona hili la maana?

unafahamu maana ya DNA?

Mimi naweza kuwa mzaramo lkn Ukipima DNA yangu unaweza kukuta asili yangu ni Mozambique.
na Wewe mnyamwezi tukikupima tunaweza kukuta Asili yako ni Congo kwa wale Banyamulenge.
je Result hizo za DNA zitabatilisha Utanzania wangu au wako?

wabunge wangapi na mawaziri wangapi wenye Asili za Asia na Mashariki ya Kati?

Obama ni Mmarekani, je inahitaji DNA TEST kufahamu kuwa Baba yake SIO MMAREKANI NA HANA ASILI YA PALE ? au Trumph the Muppet inahitaji DNA kutambua kuwa Asili yake ni Poland na sio USA?

Km Babu wa 6 wa kikwete alikuwa Mngazija wa Comoro au Bibi wa 4 wa mkapa alikuwa Mmachinga wa msumbiji Hii Itabatilisha Utanzania wao?

WAPI KTK Dunia hii DNA ikatumika kutambua URAIA WA MTU? Au Jana ulialikwa Harusi ya pombe za Bure.?

Hebu tutumie nguvu zetu kujadili yanayotusibu awamu hii. na changamoto zilizopo. tuokoe muda Watanzania.

Dah.........
Makoyye Geette
Msome vizuri Paskali, amesema achia wale ambao inajulikana na wamedeclare ethnicity. Amezungumzia imposters - hawa ni wanaosema mimi ni Mnyakyusa wakati anajua kuwa yeye ni Mkinga kwa mfano.
 
Ipo haja aisee kuna imposter mmoja ndie aliyevuruga elimu yetu ikaanguka kwa faida ya ndugu zake wakajitwalia ajira nyingi kubwa kubwa nchini.
 
Kwenye wakurya unadai baadhi wanapiga wake zao. Ila kwenye kabila la wanawake waliokuwa wanajiuza Msasani kwa kuweka vikoroboi nje hujalitajaa. Nakushauri uache hii stereotyping kabisa na hasa suala la kuhusisha kabila la wakurya na kupiga wanawake. Ushahidi unaonesha hili ni tatizo mtambuka halina kabila.

Mwanamke Wa kikurya bila ubabe ukuona sawa na mke mwenza.Kwao kipigo ni mapenzi.Hii ni nature
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali tuu, Ili Kuepuka Kutawaliwa na Wageni kutoka nchi majirani zetu, wanaopose kama Watanzania Jee Kuna Haja Kwa Viongozi Wetu Wakuu wa Umma Kutoa Maelezo ya kina kuhusu Asili Zao Halisi na Asili za Wazazi Wao na mahali halisi walipozaliwa, na sio walipokulia, na ikibidi kutumia kipimo cha DNA as a paternity test kuthibitisha na kujiridhisha tuu kuwa hawa wazazi wao halisi ndio hao walitajwa na ni wenzetu?.

Declaration of interest.
Kumezuka mtindo humu jf, mtu ukizungumzia tuu kuhusu asili ya mtu, unanyooshewa kidole cha mbaguzi, au mkabila, naomba kudeclare my interest kuwa mimi Paskali, naunga mkono raia yoyote wa Tanzania kuwa kiongozi wetu, bila kujali asili yake ni wapi, au asili ya wazazi wake hata akiwa Mhindi, Mzungu, Mkenya, Mganda etc, as long as amezaliwa Tanzania na ametueleza ukweli wa asili yake, na siungi mkono tabia za viongozi wetu kutoweka wazi asili zao halisi na asili za Wazazi wao, tunaweza kujikuta tunaongozwa na watu ambao tulidhani ni Watanzania wenzetu wa kuzaliwa, na wamezaliwa Tanzania, kumbe ni wageni na majirani zetu waliozaliwa huko walikozaliwa na kisha kuja kulowea tuu nchini mwetu na kujiita Watanzania.

Kitendo cha kuhusisha, tabia, maneno na matendo maovu, mabaya, machukizo na maudhi ya mtu mmoja, kuhusishwa na watu wote wa kabila fulani, huku sii kuwatendea haki, watu wa kabila hilo.

Kila Mtanzania Ana Haki ya Kuwa Kiongozi Bila Kujali Asili yake, ila Kuna Baadhi ya Nafasi Lazima Zishikwe na Raia wa Tanzania Wa Kuzaliwa Pekee.

Tabia Mbaya Huusishwa na Makabila.
Mfano kabla la Wakurya, wanapiga sana wanawake, lakini sii Wakurya wote wanaopiga wanawake, wako wanawake kibao wameolewa na Wakurya na sio tuu hawajawahi kuchezea kichapo, bali waume zao hawajawahi hata ku raise their voices kuwagombeza wake zao in public.

Mimi nimekulia maeneo ya Msasani Mikoroshini, enzi za ujana, kuna wanawake wa kabila fulani tuu ndio waliofanya rasmi ile biashara ya kujiuza mwili, ikifika saa 12 jioni, wakiweka vi koroboi nje ya vibanda vyao vingi vilikuwa vya udongo na kuezekwa kwa makuti tena ni chumba kimoja na wenyewe kusubiria wateja, lakini siku hizi, sio tuu ni wanawake wa makabila yote wanafanya biashara hiyo, bali wanawake wa mataifa yote pia wanadanga. Kuna sehemu hapa hapa bongo kuna mpaka Wahindi, Wachina, hadi wazungu, hivyo akitokea mtu kudai wanaojiuza ni kabila fulani pekee, huku sio kuwatendea haki.

Tabia Njema Kuhusisjwa na Makabila.
Tabia, sifa njema na mienendo mema ya watu wa baadhi ya makabila, ni assets muhimu sana, inayofanya watu hao wapendwe na kukubalika vitu ambayo ni assets muhimu sana kwa wanasiasa wetu. Hali hii imepelekea baadhi ya wahamiaji haramu, waliojipenyeza kwenye makabila ya mipakani, na kulowea maeneo hayo hivyo kujifanya ni watu wa makabila hayo, hii imepelekea Tanzania kukumbwa na hatari ya kuongozwa na wageni waliopozi kama wenyeji au wazawa.

Watu Wasio Watanzania, Wanaweza Kujifanya Watanzania na Wakatutawala!.
Mipaka mingi ya nchi zetu, imewekwa na wakoloni. katika kugawa mipaka hiyo, kuna baadhi ya makabila, koo na hata familia kujikuta japo ni watu wamoja, ukoo mmoja familia moja lakini mkajikuta ni watu wa nchi mbili tofauti. Mfano Wamasai wa Kenya na Tanzania, Wajaluo wa Kenya na Tanzania, Wamakonde wa Msumbiji na Tanzania, Wanyasa wa Malawi na Tanzania, Wahaya wa Bukoba na Waganda Kyaka etc, etc. Kwenye maeneo mengi ya mipakani huwezi kujua nani ni nani, kuna raia wengi wa kigeni, wamejibanza na kupose tuu kama Watanzania, na sisi pia tuna raia wetu wengi, wamejibanza nchi za jirani na kupose kama raia wa nchi hizo, lakini linapokuja suala la uzalendo wa kweli wa nchi yako, uzalendo wako, hautalalia pale ulipo, bali unarudi kule kwenye asili yako halisi ya ulipotokea.

Kuna Watanzania Halisi, Watanzania Asili na Kuna Impostors, Jee, Halisi, Asili na Impostors ni Nani?.
Watanzania halisi ni raia wowote wa Tanzania ambao asili yao ni Tanzania, wamezaliwa Tanzania na wazazi wao asili yao ni Tanzania. Watanzania asili, ni raia wowote wa Tanzania wenye uraia wa Tanzania bila kujali asili zao, wanaweza kuwa Wahindi, Waarabu, Wazungu, au raia kutoka nchi za jirani zetu waliopewa uraia wa Tanzania kwa kuasili, na impostors ni raia wote wa nchi za jirani ambao asili yao sio Tanzania, na wazazi wao sio Watanzania, lakini wame take advantage ya maingiliano ya mipakani, kwa kuingia Tanzania, kulowea Tanzania, kusomea Tanzania, na kuishi Tanzania kwa kuzungumza lugha za wenyeji na kupose kama Watanzania, wengine kugombea uongozi na kupata, hivyo kuhatarisha usalama wa taifa kwa kutawaliwa na raia wa kigeni posing as Tanzanians, hivyo ili kuzuia taifa kutawaliwa raia wa kigeni, impostors, kwenye kugombea uongozi wa juu wa umma, jee mnaonaje kama wagombea sio tuu wataandikishwa kwa majina yao na wazazi wao, pia tuongeze kipengele cha u halisi wa asili ya mtu, ili viongozi wetu wawe ni Watanzania halisi wenye asili ya Tanzania na kwa nafasi zile top of the top, kukitumia kipimo cha DNA kuwathibitisha?.

Uzalendo wa Kweli na Uhalisi wa Uasili wa Mtu.
Japo hakuna uthibitisho kuwa wazalendo wa kweli wa nchi yetu, ni lazima wawe ni Watanzania Halisi na Asili pekee, kunawezekana kabisa tukawa Watanzania Halisi wenye asili ya Tanzania, na wakawa ni makaburu kuliko hata makaburu wenyewe kwa kutokuwa wazalendo, na kuna uthibitisho wa Watanzania halisi wenye asili za nchi nyingine wengi tuu wametokea kuwa wazalendo kwa nchi yetu kuliko hata Watanzania asili, tena kuna wakati hata raia wa kigeni kabisa wakawa wazalendo wa kweli wa taifa hili kuliko hata sisi Watanzania wenyewe, mifano hai ya kina Amir Jamal, Al Noor Kasum, Dr. Leader Sterling, Oscar Kambona, Kanyama Chiume etc, na kuna wakati niliwasindikiza wazungu fulani kwenda kuchimba vyoo vya shimo vijijini fulani, kuna wageni wanachimba visima vya maji safi vijijini kuwapatia wananchi maji safi na salama, wakati hivyo vijiji vimetoa matajiri kibao, waonatanua huku mjini na ma vogue yao ambayo vogue moja inachimba visima virefu 10, vifupi 20!, hii maana yake, tunaweza kuwa na viongozi ambao asili yao halisi sio Tanzania, lakini wakawa ni viongozi wazalendo kuliko Watanzania wenyewe, na tukawa na viongozi Watanzania halisi wenye asili ya Tanzania halafu wakawa ni mamluki au ni makaburu kabisa kuliko hata kaburu mwenyewe!.

Baadhi ya Impostors Wanatusafishia Makabila na Wengine Kutuchafulia ,Makabila Yetu.
Kama nilivyoeleza kuhusu sifa njema za makabila yetu na sifa mbaya za makabila yetu, na nikatolea mfano kabla la Wakurya, linafahamika kuwa na wanaume wakatili sana, halafu kabila la Wasukuma lina watu wapole sana, wacheshi, wakarimu, wanyenyekevu, wana roho nzuri, ni watu Wema, wachangamfu etc. Akitokea mtu wa asili ya Wakurya, akakulia Usukumani, akasomea Usukumani, na kupewa jina la Kisukuma, na kujinasibu kuwa yeye ni Msukuma, mtu wa aina hii japo atakuwa ni msukuma kwa kuzungumza Kisukuma na tabia za Kisukuma halisi sio asili, ataongea Kisukuma na kutambulika kama Msukuma, mtu huyu akianza tabia zake za asili za kupiga mke, kuongea kwa ukali, kufanya vitendo vya kikatili bila kuonyesha huruma, watu wasiowafahamu Wasukuma, watawahesabu kumbe hivi ndivyo Wasukuma walivyo!, na matokeo yake ni kwa impostors hawa kuwachafulia bure makabila ya wenzao!. Swali ni watu kama hawa, wanaposhika madaraka makubwa, uzalendo wao utakuwa ni kwa Wasukuma alikolowea, au Ukurya kwenye asili yake?.

Hitimisho.
Ili tupate viongozi wazalendo wa kweli wa taifa hili, katika kuwafanyia vetting viongozi wa nafasi nyeti, tusiishie kwenye majina tuu kwa kuwajua tuu majina yao na ya Wazazi wao, na waliposomea, bali tuwachimbe zaidi kuzijua asili halisi za wazazi wao, na kufuatia mama zetu wengi kuwa na akili nyingi kuliko sisi wababa, then idara yetu ya vetting pia itumie DNA ili kujiridhisha hawa tunaowapa Uongozi wa juu wa nchi yetu ni Watanzania halisi na asili wa nchi yetu na hao wazazi wao wanaotajwa ndio wazazi wao halisi na sio wa kuasili. Mfano mimi Paskali Mayalla, natambulika kama ni mtoto wa Mzee Mayalla, nikiomba uongozi wa juu, taasisi ya vetting ijiridhishe kweli ni mtoto halisi wa Mzee Mayalla, isitokee kumbe nadhaniwa tuu kuwa mtoto wa Mzee Mayalla, kumbe mama zetu wamefanya mambo, ikakutikana asili ya DNA sio Bantustan bali Nilotic, hivyo mimi kukutikana ni kijana wa Kisomali!, tabia zangu za asili zitakuwa determined na DNA ya Msomali!.(Lengo la kipimo cha DNA hiyo ni kustablish partenity ya origination tuu na sio kuparaganyisha familia, taarifa hizo zitakuwa top secret), kama wenzetu Wamarekani wana DNA bank ya marais wote duniani na watu muhimu, sisi tunashindwa nini?. Saddam Hussein, Muammar Quadafi na Osama walipokamatwa, Marekani iliwathibitisha kuwa ndio wenyewe kwa kutumia DNA!. Faida za technology ya DNA isiishie tuu kwenye paternity test bali tuitumie for security reasons.

Namalizia kwa hili swali, Ili Kuepuka Kutawaliwa na Wageni kutoka nchi majirani zetu, wanaopose kama Watanzania Jee Kuna Haja Kwa Viongozi Wetu Wakuu wa Umma Kutoa Maelezo ya kina kuhusu Asili Zao Halisi na Asili za Wazazi Wao na kutumia kipimo cha DNA kujiridhisha kuwa ni wenzetu?.

NB. Kwenye bandiko hili, sijataja jina la mtu yoyote, nakuomba na wewe mchangiaji usichangie kwa kutaja jina la mtu yoyote!. Na pia sio wengi wanaofahamu kuwa tabia za asili ya mtu, hazitokani tuu na malezi, makuzi na mazingira anayoishi, bali hujangiwa na DNA ya asili ya wazazi wake wa asili na halisi na sio walezi!.

Nawatakia Alhamisi Njema.

Paskali
Update 1.
Nimenote bandiko h limewachanganya wengi, katika maeneo mawili. Eneo la DNA na Asili ya Makabila, kwa kudhania hapa nazungumzia asili ya makabila mbalimbali kama asili yake ni Tanzania au laa!, hapana, hapa sizungumzii asili za makabila, nazungumzia raia wa nchi nyingine katika makabila ya mipakani, ambao Wazazi wao sio Watanzania, lakini wameingia Tanzania na kuishi kama Watanzania kwa kujichanganya na makabila ya Kitanzania hivyo kupose kama Watanzania na kugombea nafasi yoyote.

Kwenye eneo la asili ya makabila, Mwana jf huyu, atasaidia kuwaelimisha Mtanzania halisi ni nani?.

Kwenye kipimo cha DNA, wengi wanadhani nimeandika tutumie DNA kupimia uraia wa mtu!, no!, nimesema DNA kutumika kuwathibitisha viongozi wetu wa juu kuwa Wazazi wao halisi ndio hao walioandikwa.

Maeneo ya mipakani, mama anaweza kuwa sii Mtanzania, akapata ujauzito wa mtu ambaye sii Mtanzania, ambaye sii wewe Baba Mtanzania ukavuka mpaka, mkakutana na huyo mama, mkapendana na akazaliwa mtoto huko huko mlipo, kisha mkavuka naye mpaka kinyemela mkarudi Tanzania, mtoto akakulia Tanzania, akasomea Tanzania na kuwa ni Mtanzania kabisa!. Mtoto kama huyu, anapoamua kugombea Uongozi wa juu wa nchi yetu, how can you establish Utanzania wake?. Nilichoshauri ni kwa DNA kuthibitisha tuu kuwa hawa Wazazi wa mgombea wetu huyu waliotajwa hapa, ndio wazazi wake halisi, maana mama zetu wengine, wee waache tuu.

Kwa wale wa zamani kama mimi, mtakumbuka hoja za Mchungaji Mtikila kumhusu Benjamin Mkapa, naomba nisizirudie humu, just let bygone be bygone, lakini Tanzania huko tunakokwenda, Tunapaswa kuwa makini sana na Uongozi wa juu wa nchi yetu haswa kwa watu wa makabila ya pembezoni!.

Tunawakimbizi kibao wanaingia nchini mwetu kinyemela, kufuatia mipaka yetu yote ni too porous, Al shabab wakijipenyeza Tanzania na kwenda ku settle mpakani mwa Dodoma na Manyara eneo la kabila la Wabarungi, who can tell the difference?. Mhaya wa Kyaka Bukoba na wa Mganda wa mpakani, how can you tell the difference?. Mmasai wa Maasai Mara na yule wa Serengeti, Mjaluo wa Kenya na Tanzania, Mnyasa wa Mbamba Bay na Mmalawi?,you cant tell!, but DNA can!.

P.
Stupid. DNA Lab ya wapi hiyo duniani inaweza kutambua hayo unayodai? Ya MUHAS? Tatizo Paschal Mayalla unajifanya mjuaji sana.
 
Mkuu Ndijabu Da Dude, if it makes you happy calling others stupid, be happy.

It is as simple as this, Ndijabu ni Mrundi, alizaliwa Burundi kwa wazazi Warundi. Alipofika umri wa miaka 6 akavuka mpaka kuja Tanzania, akapokelewa na familia ya Kitanzania ya Da Dude na kuandikishwa shule Ndijabu Da Dude na kusoma hadi kuhitimu kuajiriwa na hadi kugombea uongozi kama Mtanzania.

Kazi ya DNA ni ndogo tuu as simple as ABC, DNA itathibitisha Ndijabu japo amelelewa na Da Dude, he is actually not Da Dude, then full disclosure inafuatia ndipo inakuja kuthibitishwa kumbe Ddijabu sio Mtanzania, wazazi wake sio Watanzania na hakuzaliwa Tanzania.

This has happened before, ili kuepuka scenarios kama hizi kuna ubaya gani kuthibitisha hao wazazi wako kweli ni wao?.

Only for top sensitive positions.

P
 
Safi
 
Inahitaji uelewa wa juu kujua ulichokihoji Mr Paskali. DNA inatumika kutambua mambo mengi tu. Sio vinasaba vya wazazi tu. Hata vinasaba vya kabila fulani lazima vinafanana kwa namna fulani. Hivyo usishangae mtu akakutana wakati hajui hata DNA ni kitu gani.
 
Mkuu P kwani katika sheria zetu za nchi kuna sheria yoyote ile mfano sheria ya Uhamiaji inayosema uraia wa mtanzania utatambuliwa kwa DNA? Au wewe hoja yako ni raia wa Tanzania watambue wazazi wao kwa kutumia DNA ambacho ndio kipimo pekee kinachoweza kuleta majibu ya nani ni mzazi au mtoto wa fulani.
Sheria za Tanzania zinatambua uraia wa kuzaliwa na uraia wa kuomba na wa ndoa. Hivyo hata kama ni mtusi alafu wazazi wake walikuja hapa miaka ya 1890 na vizazi kama vitatu vimezaliana hapa nafikiri hao ni watanzania. Nafikiri tofauti ni kwa watoto wanaozaliwa kwenye makambi ya wakimbizi tu. Ila kama wazazi wameishi Tanzania zaidi ya miaka kumi na mtoto amezaliwa hapa Tz nafikiri ni mtanzania.
Kuhusu watu wenye nia ovu ya kumchafua mkuu eti anatokea Rwanda hao ni wapuuzi na wapumbavu tu. Ipo wazi kabisa asili ya kwao ni mahala fulani. Na vizazi na vizazi vya kwao vimezaliwa huko. Hivyo hoja za wapumbavu ni za kupuuza tu.
Ila labda ungeshauri wale jamaa zako tuwe na DNA data base hii itasaidia sana kudhibiti uhalifu. Maana ndio njia pekee ya kudhibiti uhalifu kwa njia ya kisas.
 
Mkuu P kwani katika sheria zetu za nchi kuna sheria yoyote ile mfano sheria ya Uhamiaji inayosa uraia wa mtanzania utatambuliwa kwa DNA?
Ila labda ungeshauri wale jamaa zako tuwe na DNA data base hii itasaidia sana kudhibiti uhalifu. Maana ndio njia pekee ya kudhibiti uhalifu kwa njia ya kisas.
Duh...!. Mkuu Idungude!, hilo la mimi kuwashauri "jamaa zangu", halijakaa vizuri, mimi sio jamaa zao, ndio maana nimeshauri hapa openly, wangekuwa ni jamaa zangu, ningeshauri direct bila kumwaga mchele kwenye kuku wengi.
P
 
Mkuu Ndijabu Da Dude, if it makes you happy calling others stupid, be happy.

It is as simple as this, Ndijabu ni Mrundi, alizaliwa Burundi kwa wazazi Warundi. Alipofika umri wa miaka 6 akavuka mpaka kuja Tanzania, akapokelewa na familia ya Kitanzania ya Da Dude na kuandikishwa shule Ndijabu Da Dude na kusoma hadi kuhitimu kuajiriwa na hadi kugombea uongozi kama Mtanzania.

Kazi ya DNA ni ndogo tuu as simple as ABC, DNA itathibitisha Ndijabu japo amelelewa na Da Dude, he is actually not Da Dude, then full disclosure inafuatia ndipo inakuja kuthibitishwa kumbe Ddijabu sio Mtanzania, wazazi wake sio Watanzania na hakuzaliwa Tanzania.

This has happened before, ili kuepuka scenarios kama hizi kuna ubaya gani kuthibitisha hao wazazi wako kweli ni wao?.

Only for top sensitive positions.

P
Kuwa raia hakukufanyi uwe na uchungu na nchi,au uwe mzalendo,
Majizi yote yaliyoifisadi nchi hii,si yamezaliwa hapa,
Obama,baba yake alikuwa mkenya,Trump na Mkewe wote wazazi wao ni wahamiaji,
 
Huu ni uzembe wa kitengo, kwani kwa nafasi kubwa lazima wao waingie ndani zaidi kumjua mtu.
Sio kwenye utaifa wake tuu, bali hata tabia,hulka,afya nk
Naunga MKONO HOJA, Udhaifu wa TISS ya Othman na JK ndiyo umetiingiza kwenye shimo hili.
 
Duh...!. Mkuu Idungude!, hilo la mimi kuwashauri "jamaa zangu", halijakaa vizuri, mimi sio jamaa zao, ndio maana nimeshauri hapa openly, wangekuwa ni jamaa zangu, ningeshauri direct bila kumwaga mchele kwenye kuku wengi.
P
Ok fine hata hapa openly unaweza ukashauri tukawa na DNA database kwa manufaa ya taifa.
 
Back
Top Bottom