Ili kuepuka migogoro isiyo ya Lazima! Serikali ya Umoja wa Kitaifa ni muhimu..

Sandeni

JF-Expert Member
Apr 25, 2013
666
292
Kwanini tuwe na mashaka na wasiwasi,
Ambao sisi wenye tunaweza kujiepusha nao?

Ni wakati muafaka sasa vyama vya siasa kujiandaa na serikali ya umoja wa kitaifa!

Ni muhimu sana, coz in both political parties kuna viongozi wazuri sana..

CCM tunaviongozi wazuri, mf. Mwakyembe, Sitta, Magufuli and alike! hawa hata kama upinzani utachukua nchi bado kuna haja ya kuwajumuisha katika muundo wa serikali

Wapinzani peke yao hawataweza kuunda serikali yenye mashiko..

Napigia debe serikali ya umoja wa kitaifa, kwa mustakabali wa amani ya Tanzania!!
cc,
majebere, Ritz, chama, HAMY-D
 
Last edited by a moderator:
Serikali ya umoja wa kitaifa kwa kuishirikisha ccm ambao ni wauaji, vibaka, majangili, wahuni ni UPUMBAVU na ukosefu wa fikra.
CCM imeshakataliwa na watanzania, ndiyo maana wanatumia ubabe wa kulitumia jeshi la polisi na green guard kujitangazia ushindi kwenye chaguzi.
CCM ndiyo chanzo cha jeshi la polisi kukataliwa na raia. Adui namba moja sasahivi wa watanzania ni JESHI LA POLISI
 
waambieni maliberali muunde SUK
 
Hakuna cha Serikali ya MSETO- TANZANIA!

Nchini kwetu ni Nchi moja, kiongozi Mmoja, Watu Wamoja na Lengo moja!
 
Ili kukwamisha hayo mauwaji ni bora sasa kuwashirikisha hata hiyo 2015 katika kuunda serikali..
Usipoikubali serikali ya umoja wa kitaifa ni dhahiri huitakii mema nchi yako..

Na unafurahishwa na wanayofanya CCM..kama ulivyoorodhesha hapo juu
 
Chadema hawataki kusikia hii kitu..
CCM wanaichukulia kama adui yao mkubwa..
 
Ili kukwamisha hayo mauwaji ni bora sasa kuwashirikisha hata hiyo 2015 katika kuunda serikali..
Usipoikubali serikali ya umoja wa kitaifa ni dhahiri huitakii mema nchi yako..

Na unafurahishwa na wanayofanya CCM..kama ulivyoorodhesha hapo juu

sanduku la kura LATOSHA kuweka mtawala.ccm must go
 
Ili kukwamisha hayo mauwaji ni bora sasa kuwashirikisha hata hiyo 2015 katika kuunda serikali..
Usipoikubali serikali ya umoja wa kitaifa ni dhahiri huitakii mema nchi yako..

Na unafurahishwa na wanayofanya CCM..kama ulivyoorodhesha hapo juu

Umeona wapi maji na mafuta yakachangamana? Hebu jishirikishe kabla ya kupost
 
Hivi mkuu..
Utaunda serikali ya CDM na kina nani? haya majembe ya huku ccm utayaacha wapi?
Nimejishirikisha sana kabla sijapost..
and what i see as a solution to all rising conflicts is to have a union governmen
 
It is better you go to Jukwaa la Elimu rather than wasting ur time and posting shit!
 
majembe ya ccm nchemba,lusinde,nape,prof majimarefu,tyson,mulugo,kawambwa,nchimbi,serukamba,nkamia loh! List ndefu
 
Kwani CCM wanauelewa kimantiki huo msamiati wa UMOJA WA KITAIFA. Hii siyo slogan, inahitaji vitendo na viongozi wenye dhamira safi.
 
It is better you go to Jukwaa la Elimu rather than wasting ur time and posting shit!

what a shit men!
kuna kitu unaogopa?

let ths thread be a refference to u on 2015..
for ur information if chadema take over! lazma tuwe na serikali ya umoja wa kitaifa..
and if ccm win! hakuna cha S.U.K

Dont afraid to face the truth.!
watanzania wengi bado ni wajinga tena sana and check! only 2years remain., haitawezekana kwa muda huo kuwatoa ujinga wote!!
 
majembe ya ccm nchemba,lusinde,nape,prof majimarefu,tyson,mulugo,kawambwa,nchimbi,serukamba,nkamia loh! List ndefu

ur wrong..
geuza hiyo list! hao uliowataja hawana ujembe wowote ndani ya ccm.!
umekosea sana
 
Back
Top Bottom