Ili kuepuka machafuko nchini, Jeshi la Polisi wanahitajika Analyst kufikiria kwa niaba yao

DSN

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
2,837
1,674
Hakika kila wakati dunia inabadilika kwa kasi kubwa leo hii waziri mkuu wa Itary mwenye misusuko mingi ambae alishindwa kuondoka madarakani kwa mbinu mbalimbali, leo hii yeye mwenye kainua mikono anatoka madarakani mwenyewe.Hivyo basi kupitia watu wenye upeo wa kutambua [Analyst] na kufahamu nyakati na matendo ya maamuzi ya umma kama jumuia kwa kipindi cha sasa cha Watanzania. Anaylst wataweza kuwasaidai nini cha kufanya kabla ya kuwakabili raia pinidi inapoibuka mivutano yake na Polisi wetu.Hii itasaida Polisi kuepuka kuwa chanzo cha Machafuko ya Nchii yetu.

Huko tunakoelekea Polisi wetu wanakuwa na ufahamu mdogo sana juu ya maamuzi ya jamii inayowazunguka katika migongano ya umma dhidi ya utawala ambao aijalishi kama wanatumiwa na chama cha kisiasa au la.Kinachotakiwa kutambua kuwa jamii yetu sasa imebadilika sana katika swala la uelewa wa haki za raia mmoja mmoja au wao raia kama kundi,Polisi wanitajika kulitambua hilo na kuanza kutumia elimu ya sayansi ya jamii kuliko utumiaji wa maguvu.

Kwa sasa ndio kipindi ambacho kila mkoa wa Tanzania na wilaya zake, wanaitajika Analyst wa kupima matukio ya mitafaruku ya jamii kabla ya Polisi kuchukua hatua.[An analyst is a person whose job is to analyse a subject and give opinions about it.].

Hivyo kwa watawal wa sasa hawana budi kutengeneza uwanja sawia [Fair Play Ground] kwa kuwa mazingira uwanja sawia yanajenga pia watu kuendesha mabadiliko huku wakiwaheshimu walioko madarakani na kuhesabu kuwaa yalipita si nderwe,
 
Back
Top Bottom