Ilhan Omar Ashutumiwa Kuwa Wakala Anayelipwa Na Qatar Kupeleka Habari Nyeti Za Marekani Nchini Iran

tena turkey kuna makombora ya kimkakati ya icbm,ya marekani kwa ajili ya kuishambulia russia,wakati huohuo turkey kanunua s-400 kutoka russia,ingawa marekani hapendi...
Ndugu kuna usemi unasema adui wa adui yako ni rafiki yako.
Kwa maana hiyo ukaribu wa Qtaar na Iran ni kwa sababu ya wale walio kuwa marafiki wake wamegeuka kuwa maadui kwa hiyo Qtaar akatumia uadui wa Iran na saudia kujikinga na balaa ambalo linge mkuta,ashumu saudia na Iran wangekuwa na uhusiano mzuri ni razima saudia angeishawishi Iran na yenyewe ifunge mipaka yake.
Je Iran ingefunga mipaka yake si watu wangekufa na njaa?kwa hiyo uadui wa saudia na Iran ni faida kubwa kwa Qtaar.
Kwa sababu baada ya nchi za ghuba kuitenga Qtar kwa kuifunga mipaka na kuzifunga anga zao njia pekee ya kuingiza chakula ni kupitia Iran hata ndege za Qtaar kwa sasa zinategemea anga la Iran.
 
Makombora Ya US Yaliekwa Kwamara Yakwanza TURKEY Mwaka Gani ?! Nawakat wanayaeka walikua katika hali gani yakimahusiano baina yao ?!

Na wakat makombora Ya RUSSIA Yanaekwa Ilikua Mwaka Gani Na Walikua Katika Hali Gani Yakimahusiano

1.Turkey-Wali Walalamikia NATO Akiwemo Na US Kwamba Wao Ndio Sababu Ya Mapinduzi Yalofeli Yalotaka Muondoa Erdogan

2.NATO-Waligoma Na Kukataa Katakata Kumuuzia Silaha Na Zana Mbali Mbali Zakijesho TURKEY Ukiwemo Mfumo wakujihami na Makambora Patriot Ama THAD Kama Sijakosea Ndio Maana Turkey Akageukia S400 ya RUSSIA

Ulitegemea Katika Mazingira 1 na 2 Hapo Juu TURKEY Aendelee Kumbembeleza US/NATO Kwakipi ?!

Adui wakudumu Hua Anatokea Sehemu Kama Hio Narafiki Wakudumu Anatokea Kama hapo pia Maana Ukimsaidia Hapo Utajenga Ujamaa Ukimkataa Utajenga Uadui
unajua mambo,lakini unaongea kishabiki sana,,turkey alikuwa na dili na usa kuuziwa ndege za kisasa za F-35,sasa baada ya turkey pia kuwa na dili la russsia la S-400,USA wakapinga wakitaka turkey kama ni mfumo wa kujilinda anunue THAAD,wa usa na ndege za F-35 wangemuuzia,yeye akakomaa na S-400,maana THAAD haiko vizuri sana,basi USA wakafuta dili la F-35,lakini mpaka leo kuna base ya USA turkey na makombora yapo..
 
Ndugu sio kweli ya kwamba Uturuki ilikataa kununua mifumo ya kimarekani..
Uturuki iliibembeleza sana marekani iwauzie mifumo ya kujilinda lakini marekani akaleta nyodo ndipo Uturuki ikaamuwa ichukue hatua nyingine .
Uturuki juzi imesema kama marekani itaendelea na msimamo wake wa kukataa kuiuzia ndege za F-35 basi itatafuta mbadara wake.
 
walitaka anunue patriot ya USA
Screenshot_2019-11-27-07-46-11.jpeg
 
Suala la kua na base na makombora wala sijalikataa nalijua na najua kwamba lipo miaka mingi sana
unajua mambo,lakini unaongea kishabiki sana,,turkey alikuwa na dili na usa kuuziwa ndege za kisasa za F-35,sasa baada ya turkey pia kuwa na dili la russsia la S-400,USA wakapinga wakitaka turkey kama ni mfumo wa kujilinda anunue THAAD,wa usa na ndege za F-35 wangemuuzia,yeye akakomaa na S-400,maana THAAD haiko vizuri sana,basi USA wakafuta dili la F-35,lakini mpaka leo kuna base ya USA turkey na makombora yapo..
Ila hili suala la Zana za Kivita Ndio Umedanganya UMMA Unahisi Kwa Mbwembwe za US Anavyoiaminisha Dunia kama zana zake zakjeshi ni SUPERIOR Kuna m2 anaethubutu kuzikataa ikitokea imetokea nafas yakuzinunua hasa kwa kipindi kile cha mahusiano bora ya tur na us nikwamba US Alisha anza kutia walakin na ndio maana jamaa wakaangalia upande wapili

Na ndio maana hata kwenye suala la delivery RUSSIA Hakufanza Makosa Akawasilisha Mzigo Fasta 2 Yaani
 
QATAR QATAR QATAR
Pia ni rafiki kipenzi wa Iran:
Wizara ya Fedha ya Marekani siku ya Jumatano ilitoa taarifa na kutangaza vikwazo dhidi ya taasisi 21 na watu wanne wanaohusiana na Iran na makundi ya muqawama. Marekani imesema vikwazo hivyo vitatekelezwa kwa ushirikiano na waitifaki wake wa kieneo ambao ni Bahrain, Kuwait, Oman, Qatar, Imarati na Saudia.
 
  • Thanks
Reactions: RTI
Suala la kua na base na makombora wala sijalikataa nalijua na najua kwamba lipo miaka mingi sana Ila hili suala la Zana za Kivita Ndio Umedanganya UMMA Unahisi Kwa Mbwembwe za US Anavyoiaminisha Dunia kama zana zake zakjeshi ni SUPERIOR Kuna m2 anaethubutu kuzikataa ikitokea imetokea nafas yakuzinunua hasa kwa kipindi kile cha mahusiano bora ya tur na us nikwamba US Alisha anza kutia walakin na ndio maana jamaa wakaangalia upande wapili

Na ndio maana hata kwenye suala la delivery RUSSIA Hakufanza Makosa Akawasilisha Mzigo Fasta 2 Yaani
lakini mkuu wafuatiliaji wa mambo wengi,kama sio wote wanakiri kwamba,kwa sasa mifumo ya makombora ya kujilinda iliyo bira duniani kwa sasa ni S-400 ya russia,sijui na wewe mtazamo wako,hata saud arabia,anatamani hata leo anunue s-400,lakini hana namna,visima vyake vililipuliwa kizembe na drones,za waasi,,ilionyesha udhaifu mkubwa sana,na ni hatari sana...
 
Nakubaliana Nao Kama Ni Mfumo Bora Kabisa

Ila hilo lakua mfumo bora halikua kama sbabau ya Awali Ya Kupendwa Na TURKEY Kama NATO Memba

Ila TURKEY Alikuja Kulipenda Zaidi Baada Ya Kuona Watu Ambao Wanatakiwa Kumpa Taff Wanamkataa Mazima Jamaa Akaona Isiwe Taabu Akabadili Mwelekeo
 
Back
Top Bottom