Ilhan Omar Ashutumiwa Kuwa Wakala Anayelipwa Na Qatar Kupeleka Habari Nyeti Za Marekani Nchini Iran

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
6,639
2,000

Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
37,165
2,000
Qatar ni allies wa marekani na hata central command ya jeshi la marekani middle East iko Qatar,
Pia Qatar iliwanjengea wamarekani airbase kubwa kabisa masharika ya Kati baada ya vikosi vya marekani kuamuliwa kuondoka Saudi Arabia baada ya gulf war one
 
Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
6,639
2,000
Acha uongo Qtaar ni mshirika mkubwa wa Kuaminika wa marekani,sema Qtaar alianza kujipendekeza kwa Iran baada ya kutengwa na maswahiba zake.
Baada ya kuona Iran ndio njia pekee ya kuisaidia kuingiza chakula na mahitaji muhimu ndipo wakafanya ukaribu na Iran ili wasife njaa.
Kama hujui habari za mashariki ya kati tuulize sisi.Qatar miaka ya karibuni alitengwa na nchi zingine za uarabuni,Saudi Arabia,UAE sababu ya ushirika wake na Iran
 
Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
6,639
2,000
Qatar ni allies wa marekani na hata central command ya jeshi la marekani middle East iko Qatar,
Pia Qatar iliwanjengea wamarekani airbase kubwa kabisa masharika ya Kati baada ya vikosi vya marekani kuamuliwa kuondoka Saudi Arabia baada ya gulf war one
Pia ni rafiki kipenzi wa Iran:
 
RTI

JF-Expert Member
Dec 20, 2018
1,511
2,000
Kama hujui habari za mashariki ya kati tuulize sisi.Qatar miaka ya karibuni alitengwa na nchi zingine za uarabuni,Saudi Arabia,UAE sababu ya ushirika wake na Iran
Kama ni rafiki wa Iran inakiwaje ana mruhusu adui mkubwa wa Iran kujenga kambi za kijeshi kwenye ardhi yake ambayo inaweza kutumika kuishambulia Iran.
 
Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
6,639
2,000
Kama ni rafiki wa Iran inakiwaje ana mruhusu adui mkubwa wa Iran kujenga kambi za kijeshi kwenye ardhi yake ambayo inaweza kutumika kuishambulia Iran.
Qatar Mara nyingi amekuwa mediator kati ya Iran na Marekani.Anaweza akaweka kambi za marekani lakini asiruhusu zitumike dhidi ya Iran. Mbona hata Turkey wanaDispute na Marekani lakini kuna makombora ya marekani nchini Turkey.Kwenye haya mambo huwa hakuna rafiki au adui wa kudumu Bali wanaangalia maslahi ya kudumu!
 
dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
13,861
2,000
Huyo mdada wa kisomali, wengine wanadai ameolewa na kaka yake, ovyo kabisa! Yeye ni udini udini udini tu huko nchi za watu! Haishangazi kusikia ni agent wa terrorist sponsors like Iran. Eti "some people did something" akifurahia 9/11.
 
Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
37,165
2,000
Pia ni rafiki kipenzi wa Iran:
Not to that extent,Sema Qatar hawawezi kuihujumu Iran juu wako karibu,sitting Target na hawataki maghorofa yao ya vioo yaje yapukutishwe
 
Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
37,165
2,000
Qatar Mara nyingi amekuwa mediator kati ya Iran na Marekani.Anaweza akaweka kambi za marekani lakini asiruhusu zitumike dhidi ya Iran. Mbona hata Turkey wanaDispute na Marekani lakini kuna makombora ya marekani nchini Turkey.Kwenye haya mambo huwa hakuna rafiki au adui wa kudumu Bali wanaangalia maslahi ya kudumu!
Qatar hawezi ruhusu nchi yake itumike Kama launching pad ya mashambulizi ya marekani dhidi ya Iran,sababu malipuzi ya Iran kwao ni hasara
 
profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Apr 21, 2015
518
1,000
tena turkey kuna makombora ya kimkakati ya icbm,ya marekani kwa ajili ya kuishambulia russia,wakati huohuo turkey kanunua s-400 kutoka russia,ingawa marekani hapendi...
Qatar Mara nyingi amekuwa mediator kati ya Iran na Marekani.Anaweza akaweka kambi za marekani lakini asiruhusu zitumike dhidi ya Iran. Mbona hata Turkey wanaDispute na Marekani lakini kuna makombora ya marekani nchini Turkey.Kwenye haya mambo huwa hakuna rafiki au adui wa kudumu Bali wanaangalia maslahi ya kudumu!
 
profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Apr 21, 2015
518
1,000
Ule mgogoro wa Saudi na Qatar USA alijiweka kando maana hao wote ni Allies wake
yeye usa ndiye alianzisha,akidai qatar wanafadhili magaidi wa palestina,hamas,,maana mishahara ya wafanyakazi wa serikali ya palestina,baadhi inafadhiliwa na qatar..
 
Bwana Utam

JF-Expert Member
Feb 15, 2016
6,442
2,000
Hehehe Ilhan Omar Anawatesa Sana Mabeberu Huyu Mwanadada Ndio Maana Wanamuandama

Kwanza Wajamaa Walianza Kumchukia Pale Aliposema Mauaji Ya Kimbari Ya WAYAHUDI Wanayodai Yalifanyika ULAYA Ni Uongo US Unawaambia Nn Kwa WAYAHUDI

Ilhan Omar Anawaunga Mkono Wapalestina By 100% Kwa nn Wasimchukie

Nb:Vyovyote Watakao Mzushia Ukweli Unajulikana If Ilhan Omar Ni Mwanamama Mwenye Akili Sanaaaa

Wish MUNGU Akinijaalia Mtoto Nimpe Jina La Huyu Bimaza
 
Bwana Utam

JF-Expert Member
Feb 15, 2016
6,442
2,000
Duuuuh yaani hapa ndio umeonesha yakwamba ww ndio unazijua siasa za mashariki yakati
Kama hujui habari za mashariki ya kati tuulize sisi.Qatar miaka ya karibuni alitengwa na nchi zingine za uarabuni,Saudi Arabia,UAE sababu ya ushirika wake na Iran
Qatar alikuja kuanzisha mahusiano na IRAN Baada Ya Kuona Wanaojifanya Jamaa Zake Ndio Wanataka Kumuua Nanjaa Kama Alivyofanya TURKEY Kwa RUSSIA Baada Ya Kuona Jamaa Wamegoma Kumuuzia Zana Zakivita Kwaajili Ya Kujilinda

Musipo Acha CHUKI Milele Hamtauongea Ukweli Hatakama Munaujua
 
Bwana Utam

JF-Expert Member
Feb 15, 2016
6,442
2,000
Qatar Mara nyingi amekuwa mediator kati ya Iran na Marekani.Anaweza akaweka kambi za marekani lakini asiruhusu zitumike dhidi ya Iran. Mbona hata Turkey wanaDispute na Marekani lakini kuna makombora ya marekani nchini Turkey.Kwenye haya mambo huwa hakuna rafiki au adui wa kudumu Bali wanaangalia maslahi ya kudumu!
Qatar Mara nyingi amekuwa mediator kati ya Iran na Marekani.Anaweza akaweka kambi za marekani lakini asiruhusu zitumike dhidi ya Iran. Mbona hata Turkey wanaDispute na Marekani lakini kuna makombora ya marekani nchini Turkey.Kwenye haya mambo huwa hakuna rafiki au adui wa kudumu Bali wanaangalia maslahi ya kudumu!
Duuh makombora ya marekani TURKEY Yalikuepo Lini ?!

Na Ugomvi wao ume anza lini ?!

Inawezekana ikawa kweli hakuna urafiki wala uadui wakudumu ila kuna kimoja wapo ujue hua kinatangulia baina ya hvyo viwili nandio ki2 ambacho hupewa kipaombele
 
  • Thanks
Reactions: RTI

Bwana Utam

JF-Expert Member
Feb 15, 2016
6,442
2,000
Huyo mdada wa kisomali, wengine wanadai ameolewa na kaka yake, ovyo kabisa! Yeye ni udini udini udini tu huko nchi za watu! Haishangazi kusikia ni agent wa terrorist sponsors like Iran. Eti "some people did something" akifurahia 9/11.
Kijana Mbna Unateseka

Yaani Kama IRAN Kashakua Na Uwezo Wa Kuingiza Agent Wake Mpaka Kwenye Mabunge Na Mabaraza Ya Wawakilishi Wa US Baasi US Watakua Hawana Tena Maajabu Kwenye Idara Zao Za Usalama

Kama IRAN Kafanikiwa Kupandikiza Agent Wake Muhimu Hvyo Kwenye Sehemu Muhimu Inayosimamia Sheria Kama Hio Basi US Atakua Dhaifu Mnoooo

IRAN IRAN IRAN
 
Bwana Utam

JF-Expert Member
Feb 15, 2016
6,442
2,000
tena turkey kuna makombora ya kimkakati ya icbm,ya marekani kwa ajili ya kuishambulia russia,wakati huohuo turkey kanunua s-400 kutoka russia,ingawa marekani hapendi...
Makombora Ya US Yaliekwa Kwamara Yakwanza TURKEY Mwaka Gani ?! Nawakat wanayaeka walikua katika hali gani yakimahusiano baina yao ?!

Na wakat makombora Ya RUSSIA Yanaekwa Ilikua Mwaka Gani Na Walikua Katika Hali Gani Yakimahusiano

1.Turkey-Wali Walalamikia NATO Akiwemo Na US Kwamba Wao Ndio Sababu Ya Mapinduzi Yalofeli Yalotaka Muondoa Erdogan

2.NATO-Waligoma Na Kukataa Katakata Kumuuzia Silaha Na Zana Mbali Mbali Zakijesho TURKEY Ukiwemo Mfumo wakujihami na Makambora Patriot Ama THAD Kama Sijakosea Ndio Maana Turkey Akageukia S400 ya RUSSIAUlitegemea Katika Mazingira 1 na 2 Hapo Juu TURKEY Aendelee Kumbembeleza US/NATO Kwakipi ?!

Adui wakudumu Hua Anatokea Sehemu Kama Hio Narafiki Wakudumu Anatokea Kama hapo pia Maana Ukimsaidia Hapo Utajenga Ujamaa Ukimkataa Utajenga Uadui
 
  • Thanks
Reactions: RTI

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom