Ileje, uchawi mtaacha lini?

Ileje sio sehemu ya mchezo mchezo
Ukitaka kuishi kwa jeuri na uwe salama hakikisha una nguvu ya Mungu ndani yako

All in all maisha yanaenda...nimeishi Sana huko,

Na kwa miaka hii sio sehemu zote wanaendekeza hayo mambo ukilinganisha na miaka ya nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom