Ile sketi Aliyoshuka nayo miss Tanzania Kutoka marekani kiboko.

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
6,305
15,031
Ile sketi kiboko, Yani sikuielewa design imejikunja, design imejibinua na sijui alikua hajanyoosha hata Nguo zenyewe, maana mhh ile Ni mpya akachapa na Viatu vya njano sijui bluu kweli tulipeleka kituko huko alikua vichekesho tu.
 
Yule ni miss au binti wa kawaida tu? Mmfyyuuu!!
 
Sasa mleta Uzi una mpango gani kwa sisi tusio na kideo kwetu maana hatukumwona.PICHA pliiiiiz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom