Ile Kesi ya kupinga Loans board kukata 15 badala ya 8% iko stage gani. Nani ni mawakili?

Mzingo

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
4,454
9,646
Kuna watu niliwasikia kuna wanafungua kesi. Nadhani ni LHRC. Mwenye updates tafadhali.
 
Kuna jamaa zangu wao wamejificha, mpaka leo Hkimyaa, sidhani kama Loan bord watawapata, lakini kwa wale waliojipeleka wenyewe mbona watatembelea kucha aisee
 
Back
Top Bottom