Ile Kesi ya Dokta Slaa iliishia wapi?

zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,240
3,910
Wana Jamii, napenda kujuwa ile kesi ya Dokta Slaa ya kuchukuwa Mke wa mtu iliishia wapi?
 
Waulize gazeti la Habari Leo move yote wanaijua nasikia imeahirishwa hadi June 2014.
 
Mwulize Mahimbo na wale waliomtumia wakati wa kampeni, hapa sio mahali pake. Hapa tuna issues critical for our nation, sio kutafuta personal life za watu. Kwanza wewe unajua hata your own personal life hata uingilie ya watu?
 
kweli hili ni jambo muhimu kujua......HAJAPATA TU KESHAANZA KUCHUKUA WAKE ZA WATU AKIPATA JEE.... SI ITAKUWA BALAA....!
 
Ona nalo hili zezeta kuzungumuzia mambo personalities za watu ni mambo muhimu.
 
Isitoshe, niliona kwenye moja ya mada za humu JF kuwa huyu Mheshimiwa ni Dokta wa cannon law, sasa jamani, hakuzisoma zile amri kumi?
 
We quinine, umewauliza hao viongozi wako wa chichiemu wanachukua wanawake wangapi na wanawatumia wake za watu wangapi? Japo Dr. ana uhusiano na huyo Josephine kwa kukubaliana, hajamchukua, it was a mutual consent; as she is not a commodity to be picked, hehehehheheeeeeeeeeeee uone aibu
 
Yule mlalamikaji aliyekimbiwa na mkewe amekimbiwa na CCM baada ya uchaguzi kumalizika.
 
We quinine, umewauliza hao viongozi wako wa chichiemu wanachukua wanawake wangapi na wanawatumia wake za watu wangapi? Japo Dr. ana uhusiano na huyo Josephine kwa kukubaliana, hajamchukua, it was a mutual consent; as she is not a commodity to be picked, hehehehheheeeeeeeeeeee uone aibu

Vicky Kamata.
 
Dar-salaam, kumbuka nyani hawezi kuona what is looks like in his behind, ila anaweza kuwacheka akiona nyani wenzake wakipita mbele yake!!!! Amri kumi wewe unazijua, na unazishika? Unajua hata maana ya Canon Law!!!!Ignorance inakutesa sana Mr.Dar, maana hakuna cha maana unachofanya but indulge in petty petty businesses za watu; wakati huwezi kujadili mambo ambayo yanawagusa wananchi. Eh, tuletee tena michapo mingine wa wacichiemu huko mitaani maana wewe ni expert kwa hilo naona
 
Ona nalo hili zezeta kuzungumuzia mambo personalities za watu ni mambo muhimu.

Punguza ghadhab, huyu Dokta Slaa kama kaamuwa kutaka kutuongoza wa Tanzania, ajuwe kuwa moja ya sifa ya uongozi ni uadilifu, sasa kama yeye anachukuwa mke wa mtu, na ni mchungaji huyu, na ana mke mwingine wa halali, na nijuavyo mimi, wenzetu kwenye ukiristo huwa mwiko kuachana mpaka kufa na ndoa zao ni mmoja tu. Sasa sijui, huo uadilifu wa uongozi uko wapi? Kwa huyu Dokta. Natamani sana kujuwa ile kesi imefikia wapi? Au kisha mjaza minoti (kamhonga) mume halali wa yule mama na kamnyamazisha kifisadi?
 
Nijuavyo yule mume alihongwa na CCM kufungua kesi. Sasa uchaguzi umeisha wamemwacha kwenye mataa.
 
Ingekuwa vizuri umsaidie Mahimbo kulipigania hilo Dar-Es.salaam; hata ndipo utapata uhondo wote wa kesi; hapa hutapata chochote kuhusu maswala ya michapo; si mahala pake hapa
 
Isitoshe, niliona kwenye moja ya mada za humu JF kuwa huyu Mheshimiwa ni Dokta wa cannon law, sasa jamani, hakuzisoma zile amri kumi?
We mwehu??unadhani kama watu wangefuata sheria mahakama zingewekwa??za kazi gani??bila kuvunja sheria uwezi kujua kama hipo!pili huyo fara mwenziyo aliyehongwa GX100 ili adai kamwambie ulevi wake sisi tunmjua na pesa imeishakata gx100 anapiga mizinga ya mafuta,pombe hivyo amekuwa ombaomba kwa malika!!wameisha mbwaga ccm!!
 
Dar-salaam, kumbuka nyani hawezi kuona what is looks like in his behind, ila anaweza kuwacheka akiona nyani wenzake wakipita mbele yake!!!! Amri kumi wewe unazijua, na unazishika? Unajua hata maana ya Canon Law!!!!Ignorance inakutesa sana Mr.Dar, maana hakuna cha maana unachofanya but indulge in petty petty businesses za watu; wakati huwezi kujadili mambo ambayo yanawagusa wananchi. Eh, tuletee tena michapo mingine wa wacichiemu huko mitaani maana wewe ni expert kwa hilo naona

Nadhani una matatizo ya kuelewa sifa za uongozi. Kiongozi anaechukuwa mke wa mtu wakati hakuna kuachana katika mafunzo aliyosomea na kuwa Dokta wa sheria za canoni. Halafu kwa kuuliza tu, kesi yake imeishia wapi, wewe unanishutumu, hata sikuelewi. Natamani kujuwa kama alikuwa proven innocent au la. Au aliyamaliza kienyeji kwa kutozwa faini ya ugoni, au aliyamaliza kifisadi kwa kumhonga jamaa aliye-mchukulia. Huoni hapo kuwa inabidi tuelewe ni kiongozi aina gani huyu anaeng'ang'ania kutaka kutuongoza ingawa ameshindwa kuongoja nyumba yake?
 
Back
Top Bottom