Ile kazi imetiki, naombeni ushauri

Mcqueenen

JF-Expert Member
Nov 2, 2019
6,815
11,541
Assalam alaykum, bwana Yesu asifiwe

Wakuu ile Kazi niloleta Uzi kuhusu interview yake imetiki. Post yenyewe Ni QA/QC (quality control) kwenye FMCG food industry. Naripoti kesho.

Ushauri mpya naowaomba wakubwa zangu na seniors zangu

Naombeni mnisaidie:
How to make a good first impression
Do's and don'ts kwenye hii Kazi(QA/QC)
Do's and don'ts kwenye Kazi yoyote in general
How to perform 100%+
What skills I need to apply for this post.
 
Naombeni mnisaidie

Ukienda usivae chupi, wala usipige mswaki, na usioge ili gundu lisikutoke.
 
Mkuu yaani we hadi unafanya interview unafaulu bado hujui what skills u-apply kwenye hiyo kazi? Kweli hujui do's and don't za hiyo kazi mkuu uliyosomea na kuifaulia interview.

Unless kama lengo la uzi wako ni kutusimulia kuwa umepata kazi na kama ni kweli umemaanisha kwa uzi huu basi hukufaulu hii interview umepigiwa connection tu hii kazi
 
Mkuu yaani we hadi unafanya interview unafaulu bado hujui what skills u-apply kwenye hiyo kazi? Kweli hujui do's and don't za hiyo ka I mkuu uliyosomea na kuifaulia interview.

Unless kama lengo la uzi wako ni kutusimulia kuwa umepata kazi na kama ni kweli umemaanisha kwa uzi huu basi hukufaulu hii interview umepigiwa connection tu hii kazi
Najua ila SIO vyote,nataka niongezee nyama...Kuna ubaya?
 
Hapo kinachotakiwa ni uchawa tu. Usijifanye mjuaji. Mheshimu boss, cheka na kila mtu. Mnachoenda kufanya hapo ni rubber stamping tu. Kila batch inayozalishwa mtapaswa kuchukua samples na kutest kama mzigo umekidhi viwango vilivyoainishwa na TBS au mashirika ya viwango ya kimataifa. Kama kampuni yenu haijawa ISO certified, ni uwanja wako kupalangana muwe certified.
 
Hapo kinachotakiwa ni uchawa tu. Usinijanye mjuaji. Mhesbimu boss, cheka na kila mtu. Mnachoenda kufanya hapo ni rubber stamping tu. Kila batch inayozishwa mtapaswa kuchukua samples na kutest kama mzigo umekidhi viwango vilivyoainishwa na TBS au mashirika ya viwango ya kimataifa. Kama kampuni yenu haijawa ISO certified, ni uwanja wako kupalangana muwe certified.
Mkuu hapo kwenye Iso certified ndo unafanyaje, Ni njian gan nifanye tuwe certified

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Assalam alaykum, bwana Yesu asifiwe

Wakuu ile Kazi niloleta Uzi kuhusu interview yake imetiki. Post yenyewe Ni QA/QC (quality control) kwenye FMCG food industry. Naripoti kesho.

Ushauri mpya naowaomba wakubwa zangu na seniors zangu

Naombeni mnisaidie:
How to make a good first impression
Do's and don'ts kwenye hii Kazi(QA/QC)
Do's and don'ts kwenye Kazi yoyote in general
How to perform 100%+
What skills I need to apply for this post.

Tatizo linaanzia kwenye elimu mbovu. Hii ni aibu.
 
Hapo kinachotakiwa ni uchawa tu. Usinijanye mjuaji. Mhesbimu boss, cheka na kila mtu. Mnachoenda kufanya hapo ni rubber stamping tu. Kila batch inayozishwa mtapaswa kuchukua samples na kutest kama mzigo umekidhi viwango vilivyoainishwa na TBS au mashirika ya viwango ya kimataifa. Kama kampuni yenu haijawa ISO certified, ni uwanja wako kupalangana muwe certified.
Asante Sana mkuu,,,Hawa tayari Ni ISO certified ila wanataka Kuwa FSSC22002 certified Sasa part ya mkataba Ni kufanikisha Hilo within 4months.
Unapalanganaje kupata certificate?
Niliulizia TBS wakasema wao hawana guidelines Ni nyie wenyewe Na organisation yenu wao wanachofanya Ni auditing Tu kutoa vyeti.
 
'Zunguka mlango wa pili'. Mtafute mtu wa 'humo humo ndani', mumpe kazi ya nje; mumfanye kama consultant wenu aweze kuwasaidia.
 
Mkuu yaani we hadi unafanya interview unafaulu bado hujui what skills u-apply kwenye hiyo kazi? Kweli hujui do's and don't za hiyo kazi mkuu uliyosomea na kuifaulia interview.

Unless kama lengo la uzi wako ni kutusimulia kuwa umepata kazi na kama ni kweli umemaanisha kwa uzi huu basi hukufaulu hii interview umepigiwa connection tu hii kazi
Huyu ni bishoo tu wa hapa JF kuna mabinti anataka kuwatapeli tu
 
Back
Top Bottom