Uchaguzi 2020 ILANI ZA UCHAGUZI: Hizi ndio Ilani za uchaguzi za vyama vyote kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 - 2025

Asante sana mkuu wetu umetusaidia kuzijua japo wahusika huko husema nje ya haya.

Ni kweli, ni vizuri kupitiaili kujua ni yapi tunayoahidiwa, yanaweza kutekelezeka na ambayo hayawezi kutekelezeka.
 
Nakushukuru



Mimi na familia na marafiki na wengine wengi tulishakuwamua tupo na Chama hiki. Mengi yaliyobadilika yanatupa furaha.

Kiongozi asiyeyumbishwa, ndiye bado tunamtaka. Ilani yao ipp wazi. 2015 walituahidi tumeyaona na tutazidi kuona mengi.
Pamoja na wewe kiongozi!
 
Back
Top Bottom