Ilani ya uchaguzi ya CCM 2020

Differential Equations

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
204
200
Ndg zangu CCM lazima iyaseme haya kwenye ilani yake ya uchaguzi mwaka 2020:

1: kuendelea Kutoa elimu bure nchi mzima

2: kuwashugurikia mafisadi kupitia mahakama ya mafisadi iliyoanzishwa chini ya utawala wa awamu ya tank

3: kuendelea kuimarisha viwanda ambayo ndani ya mwaka mmoja takribani zaidi ya viwanda 1845 vimeanzishwa

4: kuboresha kilimo cha kisasa

5: kutoa mikopo kwa maelfu ya wanafunzi wa vyuo vikuu

6: ajira nyingi kwa vijana

7: utawala bora wa sheria na haki za binadamu

8: kujenga barabara, airports na bandari zote kuziboresha

9: kulinda rasilimali za taifa akiwemo faru john kaburi lake tutalipata hivyo tupeni kura

10: tutarudisha bunge live.

HII NDIYO CCM YA 2020
 
Back
Top Bottom