Ilani ya chama isitumike kuendesha shughuli za serikari. Pro Mpangala Gaudensi

ligendayika

JF-Expert Member
Aug 31, 2012
1,183
198
nasikiliza na kuangalia ITV Prof Gaudens Mpangala kasema Ilani ya chama isitumike kuendesha shughuli za serikari. mnasemaje wana JF
 
Ilani ya chama ni mkakati wa kuleta maendeleo kwa wananchi ambao umebuniwa na chama kama kitatwaa madaraka. Kinachokosekana hapa ni dira ya kitaifa ya maendeleo ambayo itatakiwa kufuatwa na kila chama kiingiapo madarakani. Hivyo ni sahihi kabisa kutumia ilani ya chama katika utekelezaji wa maendeleo.
 
Back
Top Bottom