The coolest jw
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 655
- 1,030
Peoples
Huna ishu, yaani umeshiba nguna ya ndondo ndio ukapata mzuka wa kuandika huu utopolo!?
Aaah aah! Usipaniki, we tetea seraHuna ishu, yaani umeshiba nguna ya ndondo ndio ukapata mzuka wa kuandika huu utopolo!?
CcmSera za CHADEMA ni nzuri sana!
CHADEMA hawaaamini maendeleo ya "vitu" Kama barabara, madaraja, ndege, miradi ya kuzalisha umeme, kusambaza umeme wa REA na ujenzi wa hospitali.
CHADEMA ni chama kubwa inaamini maendeleo ya watu kama; kuongea vizuri kiingereza, kuvaa barakoa kama wazungu, haki ya mapenzi ya jinsia moja, kufanya maandamano nk.
Kipi ni chama "garasa"? Majibu unayo
Kwani wewe unazungumziaje makato ya 15%. Je, ni sahihi kuendelea kuwepo au Sheria inapaswa kubadilishwa?Mnyika amefichwa na polepole anaogopa kutoka ufipa hata kuita press hawezi
Mimi nitaipigia kura hii ilani maana imejaa kila kitu,hata ikisimamishwa ilani na binadamu nitaipigia ilani,yaani kura yangu kwa chadema sababu ya ilani tuuNaomba nikiri sijafanikiwa kupata Ilani ya CHADEMA ya Uchaguzi Mkuu, 2020. Hivyo basi naelea katika maamuzi.
Nafuatilia hotuba za mgombea Urais ili niweze kufanya uamuzi sahihi (informed decision) tarehe 28/10/2020. Hadi sasa nilichoambulia sijui ni Sera au Kaulimbiu kwamba Uhuru, Haki na maendeleo.
Kwa kuwa maendeleo ni pamoja na kukua kwa uchumi, mwenye kujua ni kwa vipi CHAFEMA imejipanga kukuza uchumi wa Taifa na hatimaye wa mtu mmoja mmoja, asaidie kunielewesha.
Chadema hawajalizungumza kwa sauti ya juuhakuna kitu kinaniumiza kama hiki cha mafao ya watumishi..
serikale ya CCM yenyewe imeamua kufuta FAO LA KUJITOA ili k=ukiacha kazi hata kama unamiaka 20 itabidi usubirie mpaka ufikie miaka 60 ndio uombe upewe sasa siui kama CCM wanauhakika utaweza kuishi na kufikisha umri huo.
nawapongeza CHADEMA kwa kuja na mpango huu wa kuwakomboa wafanyakazi kwa kuwasaidia pindi wanapoacha kazi au kusitishwa ajira zao.
soma ilani utaelewa wanamaanisha nini. tofauti na upande uliopo wenyewe {CCM} umeamua kuumiza na si kuokoa wafanyakaziChadema hawajalizungumza kwa sauti ya juu