BAVICHA Taifa
Senior Member
- Jul 25, 2013
- 117
- 661
Dada tulia lea watoto, moto wa cdm hamuezi, zaidi ya kupita kwa viti maalum mpka pmMmeizunduliwa wapi maana mmesema mpaka waliowekewe mapingamizi waachiliwe bila masharti vipi wameruhusiwa am mmezindua tu.
Sema upeo wako wa kufikiri na akili yako ndo vimeishia hapo,usijali maana hapo ulipofika ndo ujinga wetu unapoanzia,mpaka kuja kukutana na upeo na akili zetu, wewe tayari utakuwa umeshapoteana. Usipanic, ndo maisha mkuu.Ilani gani imejaa malalamishi kama mtoto wa kambo badala ya kutoa majibu
Wakati mwingine ni Bora kunyamaza unaweza kuonekana walau wa maanaIlani gani imejaa malalamishi kama mtoto wa kambo badala ya kutoa majibu
Ngoja niipitie nitarejea.....kwa mbali naona inafanana na ya Nccr mageuzi!WanaJF
Wakati nchi nzima ikizizima na kumuunga mkono mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu kutokana na kauli Mbiu ya Uhuru,Haki na Maendeleo ya watu tayari Ilani ya uchaguzi ya Chama hicho imekuwa gumzo kila mahali.
Ifuatavyo ndiyo ILANI ya Chadema 2020 - 2025
Ilani gani imejaa malalamishi kama mtoto wa kambo badala ya kutoa majibu
Wacha ujingaNgoja niipitie nitarejea.....kwa mbali naona inafanana na ya Nccr mageuzi!
Ujinga upi sasa wakati naisoma!Wacha ujinga
Nchi nzima ikizizimaWanaJF
Wakati nchi nzima ikizizima na kumuunga mkono mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu kutokana na kauli Mbiu ya Uhuru,Haki na Maendeleo ya watu tayari Ilani ya uchaguzi ya Chama hicho imekuwa gumzo kila mahali.
Ifuatavyo ndiyo ILANI ya Chadema 2020 - 2025
WanaJF

Acha Blah. blahNgoja niipitie nitarejea.....kwa mbali naona inafanana na ya Nccr mageuzi!
Ilani KONKI sana hii.WanaJF
Wakati nchi nzima ikizizima na kumuunga mkono mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu kutokana na kauli Mbiu ya Uhuru,Haki na Maendeleo ya watu tayari Ilani ya uchaguzi ya Chama hicho imekuwa gumzo kila mahali.
Ifuatavyo ndiyo ILANI ya Chadema 2020 - 2025
Inawezekana hata kusoma hujuiIlani hii inaifanya nchi kuwa ombaomba