Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,874
Salama sana wana JF.
Nitajikita katika utekelezaji wa ilani ya CCM. Nitakuwa nikieleza namna ya utekelezaji wa ilani ya CCM.
Kuna sehemu nitakuwa natumia picha, pdf files, link na video.
Tujue ni nini kinatekelezwa na CCM.
Nitaanza na
Usambazaji wa umeme vijiji. REA mpango wa III
Vijiji 6000 kufaidika na mradi wa umeme vijijini awamu ya tatu — Ministry of Energy and Minerals
Nitaendelea na kuleta utekelezaji wa Ilani siku baada ya siku.