Ilani ya CCM: Kadogosa asaini mkataba na kampuni ya Hyundai kununua vichwa na mabehewa ya Treni ya umeme!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,765
141,630
Mambo yanaenda kasi sana.

Mkurugenzi wa TRC mh Kadogosa amesaini mkataba wa kununua vichwa na mabehewa ya treni ya umeme na kampuni ya Hyundai ya Korea.

Kadogosa amesema mara ujenzi wa SGR utakapokamilika moja kwa moja usafiri wa treni ya umeme unaanza bila ya delay

Nawasalimu kwa jina la JMT!

E6UuFLpXsAAKEGw.jpg
 
#KaziIendelee
 
10%
 
Wayaangalie hayo mabehewa vizuri hasa kimuonekano. waistuletee vitu vya ajabu wakati mnatukamua kodi ya kufa mtu huku mtaani
Dr.Kadogosa ni "engineer" haswaa....

Wajapani "hawabeep".....

#KaziIendelee
 
Mambo yanaenda kasi sana.

Mkurugenzi wa TRC mh Kadogosa amesaini mkataba wa kununua vichwa na mabehewa ya treni ya umeme na kampuni ya Hyundai ya Korea.

Kadogosa amesema mara ujenzi wa SGR utakapokamilika moja kwa moja usafiri wa treni ya umeme unaanza bila ya delay

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Duniani kote, hakuna reli inayojiendesha kwa kutegemea usafiri wa abiria. Mizigo ndiyo ambayo huwa inaendesha reli.

Treni inatoka Dar mpaka Dodoma na kurudi, itabeba mizigo gani ya kuweza kugharamia uendeshaji wa reli?

Tutafurahia kwa sababu tutakaa kwenye viti vizuri, na kufika haraka, lakini kiuchumi, kuanza kutembeza treni ya kuishia Dodoma itakuwa hasara kubwa sana.

Pili, Serikali ya Tanzania, haijawahi kuendesha biashara yoyote kwa faida. Tatizo kubwa ni uwezo mdogo walio nao watendaji waliopo Serikalini. Posta hasara, ATCL hasara, TANESCO hasara, tulikuwa na viwanda mbalimbali, vyote viliishia hasara tupu.

CAG, kwenye ripoti yake alisema zaidi ya 60% ya watendaji wa Serikali uwezo wao ni mdogo kuliko mahitaji ya nafasi wanazoshikilia. Sijui kutokee muujiza gani, lakini kwa hakika SGR itaingia kwenye njia ambayo ATCL na TANESCO, wanapitia.
 
Ngoja tuone bwashee!
 
Kwemye Human Resources naomba kupingana na wewe, tuna watendaji/ watumishi wazuri tu ndhani mazingira wanayoyakuta ofisini ndio ynawafanya wazoane nayo
Duniani kote, hakuna reli inayojiendesha kwa kutegemea usafiri wa abiria. Mizigo ndiyo ambayo huwa inaendesha reli.

Treni inatoka Dar mpaka Dodoma na kurudi, itabeba mizigo gani ya kuweza kugharamia uendeshaji wa reli?

Tutafurahia kwa sababu tutakaa kwenye viti vizuri, na kufika haraka, lakini kiuchumi, kuanza kutembeza treni ya kuishia Dodoma itakuwa hasara kubwa sana.

Pili, Serikali ya Tanzania, haijawahi kuendesha biashara yoyote kwa faida. Tatizo kubwa ni uwezo mdogo walio nao watendaji waliopo Serikalini. Posta hasara, ATCL hasara, TANESCO hasara, tulikuwa na viwanda mbalimbali, vyote viliishia hasara tupu.

CAG, kwenye ripoti yake alisema zaidi ya 60% ya watendaji wa Serikali uwezo wao ni mdogo kuliko mahitaji ya nafasi wanazoshikilia. Sijui kutokee muujiza gani, lakini kwa hakika SGR itaingia kwenye njia ambayo ATCL na TANESCO, wanapitia.
 
Duniani kote, hakuna reli inayojiendesha kwa kutegemea usafiri wa abiria. Mizigo ndiyo ambayo huwa inaendesha reli.

Treni inatoka Dar mpaka Dodoma na kurudi, itabeba mizigo gani ya kuweza kugharamia uendeshaji wa reli?

Tutafurahia kwa sababu tutakaa kwenye viti vizuri, na kufika haraka, lakini kiuchumi, kuanza kutembeza treni ya kuishia Dodoma itakuwa hasara kubwa sana.

Pili, Serikali ya Tanzania, haijawahi kuendesha biashara yoyote kwa faida. Tatizo kubwa ni uwezo mdogo walio nao watendaji waliopo Serikalini. Posta hasara, ATCL hasara, TANESCO hasara, tulikuwa na viwanda mbalimbali, vyote viliishia hasara tupu.

CAG, kwenye ripoti yake alisema zaidi ya 60% ya watendaji wa Serikali uwezo wao ni mdogo kuliko mahitaji ya nafasi wanazoshikilia. Sijui kutokee muujiza gani, lakini kwa hakika SGR itaingia kwenye njia ambayo ATCL na TANESCO, wanapitia.
Suluhu ni Serikali kujitoa kwenye masuala ya biashara waruhusu private companies waendeshe mashirika yote yanayo milikiwa na Serikali, SGR ikiwa moja wapo.
 
ILANI YA CCM: Wananchi Wapigwa Kodi za Kufa Mtu. Ni Kilio Kila Kona

Usisahau na hilo!
 
Back
Top Bottom