Ilani Ya Ccm Haina Mamlaka Ya Kuzuia Shughuli Za Kisiasa

Abel 2015

Senior Member
Sep 5, 2015
112
55
Katiba Ya J.M.T Inaeleza Tanzania Ni Nchi Ya Kidemokrasia Na Inayoheshimu Vyama Vya Siasa.. Kufanya Shughuli Za Kisiasa Zinatambulika Kikatiba Na Hakuna Sehemu Inayosema Vyama Vya Siasa Vitafata Matakwa Ya Rais Au Kuvisimamia.
 
Mkuu ameshatamka. Kama mnadhani kuwa mnaweza kupambana na Mkuu wa Nchi, jaribuni mkione cha mtema kuni
 
Mi hawa CHAD nshawachoka na nidhamu yao ya nyumbu, hivi mlipokuwa shule za msingi mlikuwa mnatetea vipi haki zenu dhidi ya wagomvi na waliojitiaga wababe?!

Kinachowashinda sasa hivi ni nini?! Au mpaka muwekewe mchanga mpute?!

Haki inadaiwa haiombwi!
 
Back
Top Bottom