Ilani kwa Prof Lipumba:Ukishatumika Utatupwa

Toosweet

JF-Expert Member
May 27, 2012
2,141
1,982
Salaam wakuu,
Site tuko aware na kazi aliyojipa/aliyopewa Propesa Lipumbavu ya kuvuruga Chama cha Wananchi CUF. Alijiuzulu kwa hiari take muda mfupi kabla ya uchagizi kwa sababu za kipuuzi. Baada ya mwaka mmoja aliandika barua ya kutengua uamuzi we awali na kabla ya kujibiwa alijipa uenyekiti CUF.

Wakati CUF wanakaa kikao cha mkutano mkuu kumjadili pamoja na mambo mengine, alivamia kikao akiwa na watu was serikali kikao kikavurugika.Kwa kuwa msajili aliandika barua ya kumtambua, alichota mil 369 za chama kupitia akaunt za watu binafsi.

Aidha aliteka ofisi kuu ya CUF buguruni akiwa na genge lake polisi wakishuhudia.Bila kuwa na mamlaka, amemtimua Maalim Self kwenye chama ikiwa ni pamoja na watendaji wengine na kuteua wapya.Amemteua Habib Mnyaa aliyefukuzwa na chama kugombea ubunge EALA huku akijua ni kosa.

Mambo haya yote amefanya kwa kujiamini kwa kuwa Ana sapoti ya CCM na Serikali
Akumbuke kuna watu kama Dr.Walid Kabourou aliyekuwa CHADEMA na Tambwe Hiza aliyekuwa CUF kwa kutaja wachache, wako wapi?

Akumbuke hata aliyekuwa waziri wa habari jinsi alivyodhalilishwa na kutupwa nje ya cabinet bila kujali kazi mbaya na chafu alizofanya kwa ajili ya chama!Lipumba, CCM ikishakutumia itakutupa.
 
  • Thanks
Reactions: 999
Jitu hili lootwalo Propesa L nalochukia bila mfano. M Mungu mlipe mtu huyu, kutokea na usaliti wake.
 
Lipumba ni sawa na kimada katika ndoa yenye watoto 4 siku mwenye kimada akimchoka kimada ni kwamba kimada atachapwa makofi simu atanyang'anywa na atajuta kuwa na mwanaume huyo,suala la lipumba halichukui mda mrefu acha ajipe moyo wanacuf machozi yao hayatapotea kamwe ,Leo hii sakaya ambaye ubunge kaupata kwa mgongo wa chadema anakuwa msaliti kwa wa tz ,amesahau namna alivyokua anapata ubunge wa viti maalum
 
Kama sijakosea huyu Lipumba aliwahi kudhalilishwa na polisi akapigwa ovyo ovyo,wabunge wa upinzani wakamtetea sana bungeni,Leo hii anatumika na hao hao waliomdhalilisha,kamwe hawezi kutoka salama,malipo ni hapa hapa
 
Back
Top Bottom