Ilala wanajuta kumchagua Zungu wamtamani Godbless Lema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ilala wanajuta kumchagua Zungu wamtamani Godbless Lema

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by malimwengu, Nov 1, 2011.

 1. m

  malimwengu Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakazi wa ilala mchikichini ambao wameeamriwa kuhama ndani ya vibanfa vyao vya chumba na sebule walivyokuwa wakiishi kwa zaidi ya miaka 40 wamemtani godbless lema awe mbunge wao ili awatetee kwani mbunge waliyemchagua zungu ameonekana "kuwekwa sawa" na kushindwa kuwatetea.

  Mmoja wa wananchi alisikia akisema "natamani uchaguzi mkuu uwe kesho maana sasa nimejua maana ya kuchagua kiongozi anayefaa"
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  washauri 2015 wasimchague tn "zungu" wamchague "hindi" anaweza akawasaidia.
   
 3. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Hahahahaha!got you!
   
 4. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Inabidi Mbowe hamuachie Lema cheo cha mwenyekiti sababu kamzidi ushujaa
   
 5. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  hata 'china' anaweza kuwafaa!
   
 6. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  kwa hiyo kikwete ni shujaa kuliko wanaccm wote!?
   
 7. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Chama hiki kimejaa masaburi watupu.
  OTIS.
   
 8. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Unaongea kwa picha siyo. Yaani unasema wewe ,lakini unasema fulani kasema. Zungu anakubalika acha bwana hayo matatizo ya ILALA Zungu anyafahamu siku nyingi sana na anayafuatilia kwa karibu sana. Sasa sijui hizi taarifa umezipata wapi?
   
 9. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,155
  Likes Received: 3,346
  Trophy Points: 280
  Acha wale msoto! Si wanajifanya wanajua.
   
 10. the grate

  the grate JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nafil proud kuwa na mbunge kama lema
   
 11. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 226
  Trophy Points: 160
  tangu 2001 hawalipi kodi, wanahamishwa na kulipiwa pango la mwaka mzima

  walitaka mbunge wao apinge ujenzi wa makazi bora, ni mradi mkubwa ambapo ikulu na ofisi ya waziri mkuu wanautambua
   
 12. B

  Buto JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 249
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hahahaha wamchague China basi
   
 13. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Umeona ee, ccm yamejaa hayo madude matupu
   
 14. R

  RMA JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dumisheni amani na utulivu ili mliwe vizuri hadi mtakapopata akili na kuacha ushabiki wa Yanga na Simba katika siasa! Mnapiga kura kama vipofu, halafu mnalalama kama kama vichaa!
   
 15. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  wale siunawajua ni wazee wa "laala ila laala" wachague "arabu" labda watapata akili.
   
 16. Kisima

  Kisima JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 3,768
  Likes Received: 2,228
  Trophy Points: 280
  Maneno yako machungu kama ngorokotı!
  Wangekuwa na akırı hawa wazee type ya Ilala wangeonesha ınshara za mabadılıko na busara zao wakatı wa uchaguzı kumweka mwakırıshı ambae japo asaıdıe wajukuu zao na wao bası wachukue hızo dotı za kanga, kanzu kwajl ya gahawa. Na mabaraza yao yasıo na mwelekeo zaıdı ya kukusanyıka kwajıl ya ubwabwa na kutoa matamko ya upupu!
  Wananıuzı sana mm wazee wa ukanda wa pwanı maısha yao dunı hawasomeshı watoto wao na mwsho wa sıku wanawaachıa urıthı wa nyumba za kıfukara wagawane chumba kımoja kımoja watoto saba au wazurumıane na wengıne kuıshıa kuwa mateja,wapıga debe,vıbaka,wala ugoro, wabeba zege n.k
  Ipo sıku watafyata mkıa!
   
 17. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #17
  Nov 2, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,144
  Likes Received: 2,178
  Trophy Points: 280
  Sie kwetu alituahidi Maji tulipomchagua akakata mguu..... Kama mwanga kamchimbia kisima Mwanamke wake asie muoa zaidi ya kumhonga anatuuzia Maji OTIS umesema kweli hicho chama cha magamba ni masaburi sana....
   
 18. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #18
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,576
  Likes Received: 12,860
  Trophy Points: 280
  ??????? Come again?!!!!!
   
 19. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #19
  Nov 2, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Subirini uchaguzi wa 2015,
  bakini na mbunge wenu wa CCM kwa sasa,
  maana mlimpenda nae anawapenda zaidi,
  na hizo nyumba muhame haraka
   
 20. m

  malimwengu Member

  #20
  Nov 2, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu mimi Ilala si mkaazi wala mtembezi nimeenda kwenye kikao afri centre watu wamekutana nao wanafanya mkutano wao, familia ushirini za ilala kota zinahamishwa lakini wananchi wanadhani hiyo ni janja ya nyani ya kuwagawa lakini mwishi Ilala kota yote itakuwa historia, wamejipanga kumuona Mama Tibaijuka mengine siyajui nimechangia kwa sababu kuna mdau aliwaho toa tahadhari kuwa Ilala kunweza kunuka kama ilivyokuwa Dodoma ambako mpaka leo hatuambiwi wangapi walikufa na wangapi walijeruhiwa wakati maafa kweli yalitokea
   
Loading...