Ilala: DC Sophia Mjema athibitisha wagonjwa wa COVID-19 hospitali ya Amana kuleta fujo na kutaka kuondoka wakajitibie nyumbani

Mkuu mimi nasemea yaliyopo hapo hayo ya Italia sijui Marekani hayanihusu wala kunisaidia ,jua fimbo ya mbali haiui nyoka.
Unaseama ya Marekani na Italy hayakuhusu wakati hizo nchi ndio hutumika sana kama mifano ya kuonesha uhatari wa corona.
 
DC kajibu "kistaarabu" na hakutaka lawama. Most likely ana uhakika na taarifa zote kwamba wagonjwa wamesepa ila kaogopa tu kuja kuwa quoted hapo mbele ya safari. Hali ilishachafuka.

Sasa mtu anatoroka then anarudi home kwa mumeme/mkewe/watoto ili akawaue vizuri?
 
Tulisema watajwe majina hata akija home tumweke kwenye Banda la mbwa
 
DC kajibu "kistaarabu" na hakutaka lawama. Most likely ana uhakika na taarifa zote kwamba wagonjwa wamesepa ila kaogopa tu kuja kuwa quoted hapo mbele ya safari. Hali ilishachafuka.

Sasa mtu anatoroka then anarudi home kwa mumeme/mkewe/watoto ili akawaue vizuri?
Usijekuta huko wodini walishajamiiana
 
Mkuu watanzania wengi tunaumwa, si unajua corona alivyo bingwa wa kumalizia? Mfano subiri aingine Bungeni kwa kina Ndugai ,mbona bunge litajiahirisha lenyewe
Inawezekana ikawa kweli corona ni bingwa wa kumalizia au bingwa wa kusingiziwa,maana inawezakuwa maradhi tuliyonayo yanaendelea kutuondoa kama kawaida ila kwa sababu sasa kuna corona basi yeye ndio anabebeshwa mzigo.
 
Attachments

  • VID-20200424-WA0003.mp4
    961.4 KB
Duh! Habari mbaya sana hii,

Hii chain itakayotengenezwa hapo duh nchi haipo salama tena hii nawaonea huruma sana wazee na wenye magonjwa mengine mwilini ni kupukutika tu.

Wacha tufe tu watakao baki watatoa historia na ushuhuda miaka ijayo.
Bro, hili balaa halina Cha mzee Wala kijana. Kuna washikaji tuu wamepata Tena ninaowajua wengi tuu. Sema Nini, studies zinaaonesha death rate among young adults is almost nil.
 
Back
Top Bottom