Ila watu wana roho ngumu sana

Utoto tu,una experience a lot of things,na unataka ku experiment a lot of things,ombea usipate juha in the process.....wote wanaopiga picha kama ukichunguza then utagundua hawako above 24-25,ndio ujue age ni factor...wacha wafanye wanayotaka kufanya,they will learn but in hard way..LOL
Rebe hili suala sio la Generation hayo mambo Yanafanywa mpaka na watu wazima tena wenye heshima zao , kuna Waziri nchini south Africa alifukuzwa kazi kwaajili ya skendo Kama hii ,, pia nakumbuka enzi za Facebook ilivyo kuwa hot Marehemu komba alishawahi kukutwa na sakata Kama hili , na yule binti aliye piga nae picha chafu aliamua kunywa sumu alitaka kujiua kukwepa aibu
 
Binadamu wanatofautiana sana kwenye mambo mbali mbali. Kulala nayo kuiona kila siku lakini bado kuna wengi tu wanapenda kuiona kwenye picha na wala si utoto wala ujinga. Wenyewe kama ni mke na mume au BF na GF wanafurahia tabia hiyo basi msiwaingilie kwenye maamuzi yao. Ya NGOSWE!!!!!.........
your surporting nonsense
 
Nmefurah kukuona umerud kuwa na furaha
Thanks dear....I thanks jamii forum baada ya kuandika shida yangu Instead ya kukaa nayo moyoni nmepata watu wengi Sana wamenisaidia....kuna mwanasaicologia amejitolea kabisa Tena bila kulipa lap malipo yoyote Naudhuria madarasa ya counseling so far so good yananisaidia and I keep praying....pia nashukuru pia through comments za watu tofauti....kwenye that post I posted nmepata faraja Sana Kwao Mungu awabariki wote waliotumia mda wao kunishauri, kunipigia cm, kunielekeza Cha kufanya wengine wamekuwa mpaka Zaid kwangu wamenifata mpaka nilipowhat can I say I feel so luck thanks to jamii frm
 
You don’t know anything about what I am talking. Love between two people has no boundaries and you have NO RIGHT to tell them what is allowable and what is not especially if they are two grown ups. Mind your own BIZZ.
your surporting nonsense
 
Binadamu wanatofautiana sana kwenye mambo mbali mbali. Kulala nayo kuiona kila siku lakini bado kuna wengi tu wanapenda kuiona kwenye picha na wala si utoto wala ujinga. Wenyewe kama ni mke na mume au BF na GF wanafurahia tabia hiyo basi msiwaingilie kwenye maamuzi yao. Ya NGOSWE!!!!!.........
Asanteeee
Na kama mtu unaamua kusambaza atajua mwenyewe picha yenyewe haina sura nani atajua ya nani

Wengi watajifanya hawatumi picha humu kumbe ndio watumaji wakuu
 
Utoto tu,una experience a lot of things,na unataka ku experiment a lot of things,ombea usipate juha in the process.....wote wanaopiga picha kama ukichunguza then utagundua hawako above 24-25,ndio ujue age ni factor...wacha wafanye wanayotaka kufanya,they will learn but in hard way..LOL
Si kweli.

Hata watu wenye umri wa miaka 50 wanatumiana hizo picha. Kwenye mapenzi kuna ukichaa mwingi, na laiti tungemulikwa wote tunayoyafanya na yakawekwa wazi tungeshangaana sana kwamba hata huyu anafanya haya?

Na sometimes ukichaa ndio hufanya mapenzi kuwa matamu na ustaarabu unaharibu ladha kabisa.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom