Ila Tundu Lissu Kiboko; nimekumbuka hii

kuna mzee moja wa ccm huwa naongea nae anasema nchi hii mpinzani number 1 ni lissu.
 
Umesema ANGE..., as long as yupo hai anaweza kurahisha uchunguzi, ya nini kuhangaika wakati mtu ambaye alishuhudia tukio live yupo na anarushwa rushwa tu sehemu mbalimbali? Ishu ilikuwa angekuja kipindi cha mwendazake usalama wake ungekuwa hatarini, then why asije sasa amwage kila kitu hadharani?
Mwendazake alikufa na akina Bashite pia watu wake wote? au Mwendazake ndiyo alimpiga na risasi?
 
Lakini si yupo CCM?
Hajawahi kuhama CCM, ni mwanachama mwandamizi, more than 45 years! Na siyo CCM tu, ni mwandamizi kwenye vyombo vya usalama pia! Ndiyo maana inashangaza waliompokea na kumpa front seat kwenye vikao vikubwa kabisa vya chama overnight
 
Mpuuzi wewe, kwanini mlificha CCTV kamera na mkatoa askari pale eneo la viongozi?
Classified information.

69736003-07A1-4420-8B16-97712B06A34D.jpeg
 
Hajawahi kuhama CCM, ni mwanachama mwandamizi, more than 45 years! Na siyo CCM tu, ni mwandamizi kwenye vyombo vya usalama pia! Ndiyo maana inashangaza waliompokea na kumpa front seat kwenye vikao vikubwa kabisa vya chama overnight
Sasa si ufurahie kuwa mishe yenu CCM ilifanikiwa?
 
Mwendazake alikufa na akina Bashite pia watu wake wote? au Mwendazake ndiyo alimpiga na risasi?
Akina Bashite wanapumulia mashine now huo uwezo wa kumdhuru mtu wautoe wapi kwa sasa? Majanga yao tu wanashindwa kuyamaliza, kila mtu anaokoa roho yake! Hilo la Mwendazake ni utetezi uliokuwa unatoka enzi hizo why dereva hajitokezi
 
Maalim Seiph sina uhakika, hata Mbowe sina uhakika.

Ila Kwa Lisu hata adui zake wanalijua hili kuwa jamaa ni Kiboko.

Hata JPM mwenyewe akiamshwa sasa hivi aulizwe hapa TANZANIA Nani chuma atakutajia Tundu Lisu HAO wengine atakuambia ni uzani wa Kati, Lisu ni Heavy weight ambaye kama angekuwa na Jeshi tuu la watu elfu tatu lenye Mafunzo ya kijeshi sasa hivi tungeongea mengine.
Wewe upo vizuri kichwani mkuu!Binafsi hata mimi Lissu namkubali sana ila Mbowe na Seif hapana hawa ni watu wa fursa tu wanaocheza na akili za wafuasi wao. Ila Lissu ni namba nyingine ile.

Sent from my SM-J730GM using JamiiForums mobile app
 
zibarikiwe mbegu zilizotolewa na mwanaume huyo na tumbo lililokubeba miezi tisa...na ibarikiwe siku ulokuja duniani

mama angeguna akagoma ku pushiiiiiii du leo hii wala usingesikikaaaaa

big up man .... maendeleo hayana chamaaa ...
 
Amemfanyia nani ugaidi na kituo kipi cha mafuta alipata kulipua? jinga kabisa
Hamna cha kufurahia hapo, zaidi ni kushangaa inakuwaje chama kilichokuwa kinajinadi kina intelejensia kali sana nchi hii kikashikwa kirahisi vile na Edo na kumkaribisha front seat kwa kikao cha usiku mmoja tu
Jamaa hawataki kuchutama kukubali kuruka mkojo na mwishowe wakakalia kimba..
 
Kwema Wakuu!

Nimejikuta nacheka Sana nilipokumbuka habari za mwaka Jana. Yaani ilikuwa vituko na aibu kubwa.

Hivi ni kweli Tundu Lissu hakuweka matangazo kwenye nguzo na barabarani Kama alivyoweka mwenzake nchi nzima na bado akawa anaogopwa??

Ila Lisu Kiboko tuacheni utani.
Lisu ni Kiboko Kwa sababu kuu ifuatavyo;

1. Kapigwa RISASI za kutosha tuu lakini hajabadili msimamo wake.
Tumeshawaona wanasiasa wengi wakitishiwa kidogo tuu wanasalimu amri, wengine wakipigwa wanakaa kimya, lakini Kwa Lisu

Jambo hili wengi hatuliwezi.

Katika Siasa za TANZANIA, Rekodi ambayo haitavunjwa kirahisi ni rekodi ya Tundu Antipas Lisu, na miaka ijayo baada ya Sisi kuondoka hapa Duniani kuna kizazi kitamuona shujaa huku adui zake wakionekana kuwa walikuwa dhaifu na sifa zote watanyang'anywa.

Kiongozi hawezi kuwa Kiboko Kwa kujenga sijui miundombinu kwani mtu yeyote anaweza fanya hivyo akipewa Madaraka Ila anakuwa kiboko Kwa kupitia Mateso na Hali ngumu na bado asibadilishe msimamo wake.

Ni Kama vile kina Yesu WA Nazareth, Stephano aliyepigwa mawe mpaka Kufa, kina Nelson Mandela n.k

Je, wewe ni mwanasiasa yupi unayehisi ni Kiboko ambaye Lisu ni chamtoto?
Kupigwa risasi na kubaki na character ile ile ni kudra za Mungu pekee, lakini kiboko cha kukumbuka ni jinsi alivyosimamia haki yake kuonana na wanachadema wenzake huko mlandizi hata baada ya kuzuiwa na mamlaka akabaki kwenye gari hadi haki kilipotolewa na muda mchache akanyimwa usafiri wa meli kwenda ukerewe akashuka na kupanda boti za uvuvi.Haya ndiyo yanayompa ujasiri na yatakumbukwa
 
Lisu ni kiboko. Alionya mara kadhaa kwamba "mwambieni Magufuli asicheze na uvhabguzi huu".


Magufuli akacheza nao. Kiko wapi Sasa?

Jamani Lisu kiboko

mbona kakimbia nayeye sasa

yaani kakimbia mpaka maiti nabado hana nia ya kurudi mwezi wa 10 huu.
 
Aliye mpiga risasi lissu kashatangulia mbinguni ,aliyepigwa Bado anakula mema ya duniani

sema mema ya belgium,mtu ambaye kakimbia alikozaliwa hata aliyeamini mbaya wake kufa,unasema anakula mema ya nchi!!!

ni ujinga ama kichaa!!!
 
Hao utakaowasifu wewe nakuhakikishia wanajua kuwa Lisu ni Kiboko.

Kwenye nchi hii nakuhakikishia watu Aina ya Lisu hawafiki 10. Tena hiyo 10 ni wengi. Labda uwe mnafiki tuu.

Kipindi cha awamu ya tano ndio kilidhihirisha kwenye hii nchi watu wasiowaoga hawafiki 10 Kati ya milioni 60.

Hata jpm aamshwe sasa hivi atakubaliana na Mimi.

Hata makomando wenyewe wa nchi hii wanajua kuwa Lisu ni Kiboko. Tukiacha ushabiki

Mkuu tutake radhi hiyo takwimu umeipataje?
 
Back
Top Bottom