Ila tuache utani huyu Mheshimiwa Mbunge ni very beautiful.

Wanawake wazuri sana hawajui mambo sio watundu wao ni hewa wanaiga tu maisha yawanayojua wao hawajitambui wanaliwa ovyo wakijidanganga ni uzuri walio nao.
Hata darasani jamani wao wanagawa utamu ili waambiwe majibu wao hubebwa kila mahali kisa uzuri wao nawakiolewa lazima waachike.
Fanya research uone nasema ukweli.
Halafu maji maji kama umekanyaga dimbwi.
 
Ni mzuri wa sura na umbo, ila kwa maisha ya sasa that's not enough. Package nzima ya uzuri wa sura na umbo inakamilishwa na kile kilicho kichwani. Maisha ya sasa mwanaume unahitaji mke smart kichwani. Mambo magumu, lazima upate mtu makini...
 
Excellent ...thanks for this ....
 
Mumewe nae mkurupukaji tu kama mke wangu nimeshazaa nae watoto kadhaa bado tu unaleta wivu wa kingesengese
Angeacha wife atafute maisha watoto waende chooni kama k unapewa ikiwa Dodoma acha wale waliomfikisha hapo akirudi na wewe kula
Akili zangu nazijuaga mwenyewe niacheni
 
siku hizi mwanamke ambaye yuko kwenye chati ni yule mwenye marinda,marinda ni tunu ya mwanamke
 
mashindano ya ulimbwende hawaangalii uzuri..bali Brain yako,mpeleke ndugu yako wakike mzuri kama malaika kama kichwani hamna kitu Hata ticket ya kushiriki hatopata.
Niliwahi kuongea na jaji mkuu na kuuliza kama biological features zinahusika kwenye vigezo, jibu lilikuwa ndio mfano standard size ya hips. Ila mambo ya chumbani sikuuliza, ila nilijiuliza wanapimaje hiyo size ya hips.
 
Ana wezere?
Tafuta kifaa kinaitwa vernier caliper ili utafute output measurement readings kwa vipimo vya centimetres (cm) kipimo hakikisha hakivuki desimali 2...ukiipata fika pale kunako mjengoni kisha muone katibu akukutanishe yatakayofuata sio lazima ulete mrejesho hapa
 
Maelezo marefu ila hujajibu swali.

Ana wezere?
 
Ganda la muwa la jana, chungu kaona kivuno. Yaani, ka ungefahamu kuwa mumewe kamuacha kuwa, chukueni nyiye nadhani ungerudisha maneno yako moyoni.
Uzuri kwako ni hayo macho??!! Domo hilo??!! au hiyo wenzere??!! Wenzio wanajilambia kila uchwao hata siku zake hawajali. Weye waja msifia jf?? Una walakin nadhani.
Aliyemuona mzuri ni aliyefungua geti
 
Back
Top Bottom