Ila ninyi Masai wana vituko jamani

jitombashisho

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
667
2,242
Juzi kati nikiwa kwa fundi msafisha viatu pale Kibaha Maili moja nikiwa sina hili wala lile ghafla nilishuhudia kituko cha karne hahahahaha!

Ipo hivi mama wa kimasai wale wanaouza dawa za miti shamba ilionekana akitaka kumuita kwa jina lake jamaa mmoja aliyekuwa na wajihi wa ki Ustaadh.

Sasa basi katika mahangaiko ya kutaka kuita jina la yule Ustaadh ilionekana dhahili alilisahau na ndipo yule akaona isiwe tabu na ghafla akaanza kupayuka "WEWE MUSIGITI 😂" akimaanisha wewe msikiti yaani wewe Ustaadh!
 
😂😂😂Dogo utarogwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom