Uchaguzi 2020 Ila Mnyika aliona mbali sana kutogombea Ubunge

Amani Msumari

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
1,830
976
Unaweza kusema kuwa KM wa CHADEMA ndugu John Mnyika aliona mbali sana na akaaumua kuachana na kugombea Ubunge.

Najiuliza:

¹.Je, aliridhishwa na kazi nzuri iliyofanywa na CCM jimboni kwake?
² Je, aliamua kuunga mkono jitihada kimyakimya?

Hebu nijuzeni

Amani
 
Hakufanya chochote jimboni kwanza na hiyo ni kutokana na kuwa chama tofauti na cha mtawala anapitwa hata na Jacob ex Meya juhudi zake zilikuwa zinaonekana anavyopambana na watawala kutetea haki
 
They don’t take a hard look into their own political gambles. Wako busy 24/7 wakitafuta mchawi wa nje!
 
Kimbunga kilionekana tangu mwanzo, ndio maana kukuru kakara zilikuwa nyingi mara Corona, mara jamana printers, mara kura zaibwa upuuzi mtupu. Kipondo mlichopata, mtaweweseka mpaka 2040.
 
Alijua angegombea ubunge wangekosa mtu wa kuorganise vituo vyao nje ya nchi vya kuhesabia kura kuhakikisha BVR yao iko sawa😃😃
Wenyewe walishajipanga na waziri mkuu, mawaziri wengine😂😂 mawakala wote wangepewa teuzi wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi......
 
Mnyika anajua kunata na beat,,, ikumbukwe kuwa before mchizi alianzia jimbo la ubungo, baada ya kipindi chake cha kwanza kule ubungo upepo ukabadilika. Lakini kama zali jimbo likagawanywa, akaona atest mavumba kibamba mana kule ubungo ilikuwa sio poa. Huku nako Kama vumba akatusua japo kimndondokela, safari hii Sasa alichokifanya bungeni akaone awezi kutoboa labda kibamba igawanywe tena. Akaona kiinua mgongo chake cha ubunge bora afanye mitikasi mingine kuliko kucheza tena kamari, big up bro👊
 
Akamatwe think tank mkuu wa chama Yeriko Nyerere atandikwe mboko hamsa hadharani (joke). Kama jasusi bobezi la kimataifa; na la kutegemewa na chama, hakupata hata fununu kuhusu michezo iliyokuwa inaandaliwa? BAVICHA nzima hakuna aliyejua kuhusu kimbunga hichi? Kama walijua, kuna counter measures zo zote zilizokuwa zimeandaliwa? Wanaonekana kushangazwa sana na kilichotokea na naamini kwamba pengine waliamini kabisa kuwa watashinda mpaka kufikia kuanza kugawana vyeo Real?
IMG-20201025-WA0041.jpg
 
Unaweza kusema kuwa KM wa CHADEMA ndugu John John Mnyika aliona mbali sana na akaaumua kuachana na kugombea Ubunge.

Najiuliza:

¹.Je, aliridhishwa na kazi nzuri iliyofanywa na CCM jimboni kwake?
² Je, aliamua kuunga mkono jitihada kimyakimya?

Hebu nijuzeni

Amani
 
Hakufanya chochote jimboni kwanza na hiyo ni kutokana na kuwa chama tofauti na cha mtawala anapitwa hata na Jacob ex Meya juhudi zake zilikuwa zinaonekana anavyopambana na watawala kutetea haki
 
Back
Top Bottom