Ila kuna wanaume wana maringo..

Mwanaume akishajijua tu kuwa ni mzuri na wadada tunampapatikia,basi nae ataanza nyodo kama binti...naichukia sana hii tabia,wenye tabia hii jirekebisheni bana,mnatufanya sisi wadada tushindwe kujiexpress feelings zetu kwenu.

Nimekuelewa nitajitahidi kubadilika!
 
Kama nyinyi wanawake mmeshindwa kuringa na kukosa haiba basi wacha wenyewe waringe ndio poa
 
Mwanaume akishajijua tu kuwa ni mzuri na wadada tunampapatikia,basi nae ataanza nyodo kama binti...naichukia sana hii tabia,wenye tabia hii jirekebisheni bana,mnatufanya sisi wadada tushindwe kujiexpress feelings zetu kwenu.

Mkuki kwa nguruwe........
 
Back
Top Bottom