Mwanaume akishajijua tu kuwa ni mzuri na wadada tunampapatikia,basi nae ataanza nyodo kama binti...naichukia sana hii tabia,wenye tabia hii jirekebisheni bana,mnatufanya sisi wadada tushindwe kujiexpress feelings zetu kwenu.
Mmmh mwanaume mzuri??
Haya tumekusikia. Tutajirekebisha.
Wewe ni mzuri?