Ikulu yaunda tume ya kuchunguza wiki-leaks

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
Mwenyekiti wa tume ni Rostam.
Sababu haina mzawa wa Tz unaalikwa kuomba kuwa mjumbe,
Link hiyo hapo chini.Karibuni
 
Pesa nyengine za walala hoi hizooooo! Tanzania inashindwa kuchunguza kashfa zake za ndani, iweje waichunguze wikleaks?
Ghrrrrrrrrr!
 
Back
Top Bottom