Ikulu yatoa ufafanuzi wa uteuzi Bi, Charangwa Selemani DAS wa Ilala na Magalula Mkurugenzi Itigi

Ivi jamani naomba kuuliza ivi nafasi za katibu wa wilaya kwa upande wa Ccm ajira zao zinakuwaje ama nafasi zao ni za kugombania
 
Huyo ndo kada kwa mujibu Wa sheria za uchaguzi Wa serikali za mitaa yeye ndo mrufani, yaani vyama vya ACT, CHADEMA nk wasiporidhika wanakata rufaa kwake.je ataweza kutenda haki wakati ni kada?
Hivi kwa nini Vyama visivyo madarakani havipingi vifungu hivi kinzani kwa kupigania tume huru ya UCHAGUZI????? Fungua kesi nyingi iwezekanavyo regardless kukwamishwa.... Tengeni bajeti ya kutosha katika eneo hili la kuendesha kesi, kwa mahakama hizi hizi zao
 
Kwani hivi vyeo vya kiutendaji kama DAS na DED na vyenyewe vinagawiwa kwa makada, hatari sana..
 
Kwani hivi vyeo vya kiutendaji kama DAS na DED na vyenyewe vinagawiwa kwa makada, hatari sana..
Nilidhani ni kazi za kuajiliwa... sasa mtu anagawiwaje kazi za serikali inabaki kwa waajiri wenyewe..
 
Kwa sasa ndiyo nimeamini kwamba Rais wa nchi yetu ana madaraka / Mamlaka makubwa na ya ajabu mno.
 
DAWA YA YOTE NI KATIBA, KATIBA, KATIBA, KATIBA, KATIBA.


HIZO NAFASI SI ZA KUPEWA MAKADA WA CHAMA.




NAMUOMBA MHESHIMIWA APELEKE / AITISHE BUNGE LA DHARULA ILI KUFUTILIA MBALI MFUMO WA VYAMA VINGI VYA SIASA.
 
Inchi hii tunapoelekea hata huduma utakuwa hupati hospitali kama sio kada wa hiko chama
 
Back
Top Bottom